Ziroseventytwo
JF-Expert Member
- Mar 27, 2011
- 8,581
- 15,618
Liverpool vs Atalanta. Tt n btts. O 2.5 goals.
🤣🤣Duhhhh mtihani huo
Pumzika Mdau Kamari isikufikishe hapo
Ukweli mchungu,ikifika hatua mtu unaomba Pesa iwe humu au hata mtaani au kwa ndugu na marafiki kwa lengo ucheze Kamari,hatua hiyo ni mbaya mnoooo tena mnooo
Omba sana MUNGU akutoe huko,wapo watu mpaka sasa Mishahara imeisha kwa KAMARI
Nakushauri ni bora uwe mtumwa wa Kazi zako au Biashara zako mwenyewe kisha kipato chako mwenyewe ndio utumie kucheza KAMARI
Otherwise kuna age itafika mpa familia kuiingiza ktk maisha ya dhiki na fedheha kwa ajili ya Kamari
Watu Wengi wameuza smart phones zao Ili wacheza KAMARI then Kazi ni kuazima sasa sim,na kurejesha alichouza hakuna tena.
Uraibu wa betting kila ikifika Alkhamis,Ijumaanna Jmosi ndio watu wanakuwa kama wanawazim, wenye kuuuza,kukopa,kuchukua advanced Salaries,kuomba kwa watu kwa mtizamo kwamba ni wiki ya kitoboa
Hatimae Tangu umeanza kuomba,kuuuza vitu bado nafuuu hujaiona,kujipima Ingiza kwenye Lost record slip kisha utaona mtaji mkubwa uliopotea au pesa nyingii ulioingiza then thing on other to proceed or to terminate
Tuendelee Betting but kwa malengo otherwise at ages of 30 to 40 titakataana
mbn unatarabu sana ww mtoto muhindi alishakulegeza hizo mpumbu, sasa nani unampa....nani ushauri uchumba tu umekushinda mpk leo unafugwa kwa dada yako!Duhhhh mtihani huo
Pumzika Mdau Kamari isikufikishe hapo
Ukweli mchungu,ikifika hatua mtu unaomba Pesa iwe humu au hata mtaani au kwa ndugu na marafiki kwa lengo ucheze Kamari,hatua hiyo ni mbaya mnoooo tena mnooo
Omba sana MUNGU akutoe huko,wapo watu mpaka sasa Mishahara imeisha kwa KAMARI
Nakushauri ni bora uwe mtumwa wa Kazi zako au Biashara zako mwenyewe kisha kipato chako mwenyewe ndio utumie kucheza KAMARI
Otherwise kuna age itafika mpa familia kuiingiza ktk maisha ya dhiki na fedheha kwa ajili ya Kamari
Watu Wengi wameuza smart phones zao Ili wacheza KAMARI then Kazi ni kuazima sasa sim,na kurejesha alichouza hakuna tena.
Uraibu wa betting kila ikifika Alkhamis,Ijumaanna Jmosi ndio watu wanakuwa kama wanawazim, wenye kuuuza,kukopa,kuchukua advanced Salaries,kuomba kwa watu kwa mtizamo kwamba ni wiki ya kitoboa
Hatimae Tangu umeanza kuomba,kuuuza vitu bado nafuuu hujaiona,kujipima Ingiza kwenye Lost record slip kisha utaona mtaji mkubwa uliopotea au pesa nyingii ulioingiza then thing on other to proceed or to terminate
Tuendelee Betting but kwa malengo otherwise at ages of 30 to 40 titakataana
Tupo ukurasa wa 20,000 bado kanjibai anaongoza
Hili zigo kama linakujakuja hivi..betPawa. KG1CHV
Ni Odds 15 hizoView attachment 2960793