Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

L83YP
1000329424-01.jpg
 
Duhhhh mtihani huo

Pumzika Mdau Kamari isikufikishe hapo

Ukweli mchungu,ikifika hatua mtu unaomba Pesa iwe humu au hata mtaani au kwa ndugu na marafiki kwa lengo ucheze Kamari,hatua hiyo ni mbaya mnoooo tena mnooo

Omba sana MUNGU akutoe huko,wapo watu mpaka sasa Mishahara imeisha kwa KAMARI

Nakushauri ni bora uwe mtumwa wa Kazi zako au Biashara zako mwenyewe kisha kipato chako mwenyewe ndio utumie kucheza KAMARI

Otherwise kuna age itafika mpa familia kuiingiza ktk maisha ya dhiki na fedheha kwa ajili ya Kamari

Watu Wengi wameuza smart phones zao Ili wacheza KAMARI then Kazi ni kuazima sasa sim,na kurejesha alichouza hakuna tena.

Uraibu wa betting kila ikifika Alkhamis,Ijumaanna Jmosi ndio watu wanakuwa kama wanawazim, wenye kuuuza,kukopa,kuchukua advanced Salaries,kuomba kwa watu kwa mtizamo kwamba ni wiki ya kitoboa

Hatimae Tangu umeanza kuomba,kuuuza vitu bado nafuuu hujaiona,kujipima Ingiza kwenye Lost record slip kisha utaona mtaji mkubwa uliopotea au pesa nyingii ulioingiza then thing on other to proceed or to terminate

Tuendelee Betting but kwa malengo otherwise at ages of 30 to 40 titakataana
 
🤣🤣
we jamaa unashauri mpaka unakatisha tamaa, mpaka unapitiliza.
 
Governor of bettors ameshakalishwa huko na Kanji anapoza machungu na gazeti.😂😂😂😂 When you're betting you have to prepare for a loss always, but a single win will make you forget all what you have lost and bad situations you have passed. Hakikisha slip zako zinacheza above 50M maana betting ni bahati na hujui bahati yako itakuwa lini. Then bet kwa Hela ambayo sio ya kula.
 
Duhhhh mtihani huo

Pumzika Mdau Kamari isikufikishe hapo

Ukweli mchungu,ikifika hatua mtu unaomba Pesa iwe humu au hata mtaani au kwa ndugu na marafiki kwa lengo ucheze Kamari,hatua hiyo ni mbaya mnoooo tena mnooo

Omba sana MUNGU akutoe huko,wapo watu mpaka sasa Mishahara imeisha kwa KAMARI

Nakushauri ni bora uwe mtumwa wa Kazi zako au Biashara zako mwenyewe kisha kipato chako mwenyewe ndio utumie kucheza KAMARI

Otherwise kuna age itafika mpa familia kuiingiza ktk maisha ya dhiki na fedheha kwa ajili ya Kamari

Watu Wengi wameuza smart phones zao Ili wacheza KAMARI then Kazi ni kuazima sasa sim,na kurejesha alichouza hakuna tena.

Uraibu wa betting kila ikifika Alkhamis,Ijumaanna Jmosi ndio watu wanakuwa kama wanawazim, wenye kuuuza,kukopa,kuchukua advanced Salaries,kuomba kwa watu kwa mtizamo kwamba ni wiki ya kitoboa

Hatimae Tangu umeanza kuomba,kuuuza vitu bado nafuuu hujaiona,kujipima Ingiza kwenye Lost record slip kisha utaona mtaji mkubwa uliopotea au pesa nyingii ulioingiza then thing on other to proceed or to terminate

Tuendelee Betting but kwa malengo otherwise at ages of 30 to 40 titakataana
mbn unatarabu sana ww mtoto muhindi alishakulegeza hizo mpumbu, sasa nani unampa....nani ushauri uchumba tu umekushinda mpk leo unafugwa kwa dada yako!
 
FIXED ODD
1.leverkusen vs west ham_home win
2.HJK VS Lahit_home win
3.Tonsberg vs Tonsberg_away win
 
Back
Top Bottom