Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

leo
 

Attachments

  • IMG_20240417_101543.jpg
    22.1 KB · Views: 6
  • IMG_20240417_101543.jpg
    22.1 KB · Views: 7
Mkuu naona Paripesa hakuna kabisa options za kuweka kwa mobile payment

Helabet ipo ila nimekwenda kwenye page yao ya FB naona watu wanalalamika hela zao hazifiki ukideposit
Mkuu jaribu betwiner
 
Mnashindwaje kumuua simba, yanga alikuwa ana point 2 za wazi [emoji1787][emoji23]
 
hivi Napoli siku hizi wanatumia kikosi b au ni kile kile cha kwanza?

wanafanya hii kazi iwe ngumu kila siku, kana wanafungwa bora wawe wanafungwa mengi sio kagoli ka 1 yu[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706]
 
Achana na ligi za Italy, miyeyusho
🤣🤣🤣🤣
Italy tabu kitambo tu ni League ya wacheza KAMARI

Utakumbuka kuna Boss wa Team tena iliyowahi kuchukua Ubingwa alinaswa kupanga matokeo.Akihusishwa na Mabillionea wanaobet.
Yaani inacheza tu league ya Italy ila ina mipango Mingi mnoo ya nje ya Uwanja
Championship ya Italy ndio balaaa kabisa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…