Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Anaitwa Mbise a.k.a MrDepalito..huyu jamaa ana balaa sana,ashakua sugu..akipiga mshindo anampiga haswa..na huwa analiwa pia..
IMG_0783.jpeg
IMG_0784.jpeg
 
Humo straight win...imesahaulika mechi ya rigas futbola tu..katika elite's wa leo!...Jana hawakuwa wameiweka.
Screenshot_20240421-232729.png
 
Wakuu kuna kampuni miyeyusho sana,jana nimediposit hela ikanasa hewani,nkawasiliana na mtandao husika wakasema hela yako itakwenda kweli masaa mawili wakatuma meseji,nacheki huko meridian hamna kitu,parangana nao jana hadi leo bado kimya. Big up bet power au sport pesa wakipata shida wakogo shuta sana kuzitatau,hawa jamaa sijui wakoje siku hizi. Miaka kumi m ni mteja wao ila nimekereka mpaka mda huu nafuta akaunti yao.maana mwaka jana nilideposit nkafatilia nkaona kero nkaacha ila sasa no mikeka yenyewe itutese na wao watutese Acha niachane nao
Meridian wana hii kashifa sana, Sijui wanazipiga au ni vipi?
 
Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)

2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...

I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...

II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....

H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...

A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Sichezei pesa kwa kuweka pesa! Betting ni kuchezea hela kwenye pesa🤠
 
BAHIA FT X
3.00
JONG PSV FT X
3.20
ALIANZA ATL FT X
3.20
 SINGLE
 
Back
Top Bottom