Greatest Of All Time
JF-Expert Member
- Jan 1, 2017
- 23,620
- 52,790
Anaitwa Mbise a.k.a MrDepalito..huyu jamaa ana balaa sana,ashakua sugu..akipiga mshindo anampiga haswa..na huwa analiwa pia..
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaitwa Mbise a.k.a MrDepalito..huyu jamaa ana balaa sana,ashakua sugu..akipiga mshindo anampiga haswa..na huwa analiwa pia..
Mbona kama izi editing mzee , Fungua macho tafadhari
Kamba hizo Mdau🤣🤣🤣🤣Mbona kama izi editing mzee , Fungua macho tafadhari
Wewe ndio ufungue macho!! Sio kila mtu hana pesa kama weweMbona kama izi editing mzee , Fungua macho tafadhari
Kitu pekee ulichojaaliwa ni roho mbaya ya umaskiniKamba hizo Mdau🤣🤣🤣🤣
Either anapost kwa kujua au bado kuna vitu Duniani vinampita
Tangu juzi naona hiyo promotion ya kimtindo
Unahangaika Bure kubishana na jamaa Ambae hajitambui wala haelewi X ni mdudu Gani!,Kitu pekee ulichojaaliwa ni roho mbaya ya umaskini
Nawewe hufanyi au unafanya kama Ile mnaita burudanihawa ndio wanaofanya bettinh kama biashara!
Kali sana hiiHaya twendeni mdogo mdogoView attachment 2969542
Meridian wana hii kashifa sana, Sijui wanazipiga au ni vipi?Wakuu kuna kampuni miyeyusho sana,jana nimediposit hela ikanasa hewani,nkawasiliana na mtandao husika wakasema hela yako itakwenda kweli masaa mawili wakatuma meseji,nacheki huko meridian hamna kitu,parangana nao jana hadi leo bado kimya. Big up bet power au sport pesa wakipata shida wakogo shuta sana kuzitatau,hawa jamaa sijui wakoje siku hizi. Miaka kumi m ni mteja wao ila nimekereka mpaka mda huu nafuta akaunti yao.maana mwaka jana nilideposit nkafatilia nkaona kero nkaacha ila sasa no mikeka yenyewe itutese na wao watutese Acha niachane nao
Sichezei pesa kwa kuweka pesa! Betting ni kuchezea hela kwenye pesa🤠Karibuni tuinvest katika soko letu la hisa iwe meridian, iplay8 casino, m-bet, premier betting, skybet, landbrokerz, bet365... n.k
GG (maana yake tim zote zifungane).. GGGG ( tim zote zifungane kila kipindi)
2+ (katika mechi yote yapatikane magoli kuanzia mawili)...
I 2+ (kipindi cha kwanza yapatikane magoli kuanzia mawli)...
II2+ (kipindi cha pili yapatikane magoli kuanzia mawili)....
H2+ (tim ya nyumbani ipate magoli kuanzia mawili)...
A2+ (timu ya ugenini ipate magoli kuanzia mawili)...
Nani amekuita huku!?Sichezei pesa kwa kuweka pesa! Betting ni kuchezea hela kwenye pesa🤠