Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna mtu anaitwa Leverkusen naskia kashatangaza ubingwa na anaenda kucheza na mtu wa tatu Stuttgart sijui anajali kweli Tena[emoji38] balaa
Mpe double chance Leverkusen anataka kuweka record bundesliga ya kutofungwa, Hilo linaeleweka
 
Duuu hii option ndo ipoje2 mkuu
Kona za kipindi cha kwanza ukizimultiply na kipindi cha pili Total itakuwa ni ngapi??? Ndo utachagua kuna over na under.......mfano hapo game ya Zenit first half kona 6 na second half kona 7 ukizidisha utapata 42 na yeye aliweka over 40.5 so imetick
 
Q1KAY
mechi 6 odds 14+,kila la kheri
Helabet
Screenshot_20240426-124615.png
 
☆Madrid ~win/draw
☆mamelody under~ 4.5 goals
☆Al ahly ~under 3.5 goals
☆vfl bochum vs hoffenheim~ over 1.5 goals
👀
 
Back
Top Bottom