Duuu hii option ndo ipoje2 mkuu
Mpe double chance Leverkusen anataka kuweka record bundesliga ya kutofungwa, Hilo linaelewekaKuna mtu anaitwa Leverkusen naskia kashatangaza ubingwa na anaenda kucheza na mtu wa tatu Stuttgart sijui anajali kweli Tena[emoji38] balaa
Watu wa kuamini mikeka ya kuuzwa
Ipo kwenye kampuni za warusi 1x bet,paripesaMkuu,hii option inapatikana wapi asee maana kwenye corner siioni
Kona za kipindi cha kwanza ukizimultiply na kipindi cha pili Total itakuwa ni ngapi??? Ndo utachagua kuna over na under.......mfano hapo game ya Zenit first half kona 6 na second half kona 7 ukizidisha utapata 42 na yeye aliweka over 40.5 so imetickDuuu hii option ndo ipoje2 mkuu
Hii option maana yake nini??
Hii optioj maana yake nini??
Makalio yataliwa au!?Weka chochote ..kasoro makalio tu!
42F511
Tukutane hapa keshokutwa saa 1 jioni!
Kwa mfano ukaweka kalio mkuuMakalio yataliwa au!?
2ZNG7DG betpawa wadau hapo twende nayo mwenye mawazo tofauti
Madrid anakwenda kucheza UEFA Sasa hapo labda Kuna mawili ashinde au draw sidhani kama ataweka wachezaji wakubwa wengi atawatunzaGame ya madrid mbona kama mtego wakuu