Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kaka hujaelewa nn apo.??? Kampuni inaangalia mzigo upo kwenye soko gani zaidi .... ndio maana nmesema Kwanza inaangaliwa game mama ya siku husika .... game mama n game iliyochezwa zaidi katika siku hio then inaangaliwa masoko kadhaa yaliyotiwa mzigo ..... Hawez anza kuhangaika na Direct win fixing kama mzigo upo kwenye over Mfano game mama ni City na Mzigo upo zaidi kwenye over 2.5 game inafanyiwa fixing city anaeza shinda moja au 2 Kwaio alieweka Win direct kala lakn haimuathiri chochite mhindi kwa sabbabu mzigo mkubwa haukua huko ...... Mfano Betway inasemekana ana Hisa CAF sasa yeye aone kabisa game flan ikipatikana goli 3 ntaliwa mabilion ya fedha akae kimya na ni mdhamini ???
 
Tokapa
 
LEICESTER W OR D
1.40

AEL LIMASSOL.W OR DRW
1.40
BARCELONA WIN
1.40

πŸ’― KABOOOOOOOOOOOOOOOOOM
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…