Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
View attachment 2976208
Daaah....rennes nimemuogopa bure 2+......ufaransa ukiwapa magoli hawatoi ukiwaogopa ndo hivo
Kweli kabisa mkuu. Kumbe hata wewe umeona?Hizi kampuni za kubeti wanaangalia game gani ndo game mama kwa siku husika na ndo inafanyiwa game fixing match inaisha nje ya uwanja .... mfano mimi nacheza sanna baskett game mama labda inaeza ikawa ya Lakers wengi wameeka lakers apate vikapu 105.5 kwenda juu utashangaa game inaisha lakers ana vikapu 104 na kama team pinzani mzigo uliwekwa sanna apate vikapu 107.5 game inaisha 104 - 98 hapo kamaliza kazi kesho yake anawapoteza tena maboya kwa game mama nyingine!!! Inshort anaangalia zaidu mzigo ulipo.... sasa ww na Buku yako akili ikiwa sawa ukaenda mule mule kwenye mzgo kwa game mama ya siku ndo kilio ..... game fixing zipo sanna tena sanna mechi zinaishia mezani ..... Kampuni za kubeti zimeharibu sanna Uhalisia wa mpira!!!
Ko kampuni zote za beti ama?🤔Hizi kampuni za kubeti wanaangalia game gani ndo game mama kwa siku husika na ndo inafanyiwa game fixing match inaisha nje ya uwanja .... mfano mimi nacheza sanna baskett game mama labda inaeza ikawa ya Lakers wengi wameeka lakers apate vikapu 105.5 kwenda juu utashangaa game inaisha lakers ana vikapu 104 na kama team pinzani mzigo uliwekwa sanna apate vikapu 107.5 game inaisha 104 - 98 hapo kamaliza kazi kesho yake anawapoteza tena maboya kwa game mama nyingine!!! Inshort anaangalia zaidu mzigo ulipo.... sasa ww na Buku yako akili ikiwa sawa ukaenda mule mule kwenye mzgo kwa game mama ya siku ndo kilio ..... game fixing zipo sanna tena sanna mechi zinaishia mezani ..... Kampuni za kubeti zimeharibu sanna Uhalisia wa mpira!!!
Sasa mfano ulioutolea apo Kwa Lakers mi nmeeka Lakers win sijacheza over si nakuwa nshakula nakuwa nmeukwepa msala wa mechi fixing anyway vyovyote vile ata wakipanga matokeo BDO Kuna watu watakula. Kila mtu na upepo wake mfano man city vs Luton apa wengi watamfata city win mfano odds 1.23 afu mwengne aakaona city win odds chache akamfata Luton apate tu goli odds 1.43 labda ko ni upepo wako tu unavoekaHizi kampuni za kubeti wanaangalia game gani ndo game mama kwa siku husika na ndo inafanyiwa game fixing match inaisha nje ya uwanja .... mfano mimi nacheza sanna baskett game mama labda inaeza ikawa ya Lakers wengi wameeka lakers apate vikapu 105.5 kwenda juu utashangaa game inaisha lakers ana vikapu 104 na kama team pinzani mzigo uliwekwa sanna apate vikapu 107.5 game inaisha 104 - 98 hapo kamaliza kazi kesho yake anawapoteza tena maboya kwa game mama nyingine!!! Inshort anaangalia zaidu mzigo ulipo.... sasa ww na Buku yako akili ikiwa sawa ukaenda mule mule kwenye mzgo kwa game mama ya siku ndo kilio ..... game fixing zipo sanna tena sanna mechi zinaishia mezani ..... Kampuni za kubeti zimeharibu sanna Uhalisia wa mpira!!!
Kiufupi ata katika hzo hzo match fixing BDO unaweza ukala koz betting ni mchezo wa bahati nasibu Kwa vile hakuna anayejua mechi imepangwa VP wanaweza wakala wamepanga iwe 0-0 afu mwengne kaeka under mwengne 1x mwengne x2 au win to nill ko apo BDO wamekula. Shida wakamalia wengi wanakariri mechi Fulani uhakika sijui timu flan lazma ishinde Yani wanaingia na matokeo mkononi mwisho wa siku wanaweza kulia oooh sijui mechi imepangwa 😂 tuendelee kubahatisha tu mpira unachezwa uwanjan hakuna mechi ya uhakika nakuambia Bali Kuna soko lenye uwezekano mkubwa sana kutokea lakini sio asilimia mia ndomana over 0.5 zinachana gemu inaisha 0-0 japokuwa over 0.5 nyingi Zina asilimia 90% + uwezekano mkubwaHizi kampuni za kubeti wanaangalia game gani ndo game mama kwa siku husika na ndo inafanyiwa game fixing match inaisha nje ya uwanja .... mfano mimi nacheza sanna baskett game mama labda inaeza ikawa ya Lakers wengi wameeka lakers apate vikapu 105.5 kwenda juu utashangaa game inaisha lakers ana vikapu 104 na kama team pinzani mzigo uliwekwa sanna apate vikapu 107.5 game inaisha 104 - 98 hapo kamaliza kazi kesho yake anawapoteza tena maboya kwa game mama nyingine!!! Inshort anaangalia zaidu mzigo ulipo.... sasa ww na Buku yako akili ikiwa sawa ukaenda mule mule kwenye mzgo kwa game mama ya siku ndo kilio ..... game fixing zipo sanna tena sanna mechi zinaishia mezani ..... Kampuni za kubeti zimeharibu sanna Uhalisia wa mpira!!!
0786420122 nmba hyo Kwa alieko kwny grupu la kupeana tips mbalimbali za kubeti Ani addMwenye grupu la wasap la kupeana tips za betting naomba link au aniadd. ila hlo grupu liwe la wote kuchati sio Yale ya only admin