Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Screenshot_20240428-200145.jpg

Daaah....rennes nimemuogopa bure 2+......ufaransa ukiwapa magoli hawatoi ukiwaogopa ndo hivo🥹
 
Hizi kampuni za kubeti wanaangalia game gani ndo game mama kwa siku husika na ndo inafanyiwa game fixing match inaisha nje ya uwanja .... mfano mimi nacheza sanna baskett game mama labda inaeza ikawa ya Lakers wengi wameeka lakers apate vikapu 105.5 kwenda juu utashangaa game inaisha lakers ana vikapu 104 na kama team pinzani mzigo uliwekwa sanna apate vikapu 107.5 game inaisha 104 - 98 hapo kamaliza kazi kesho yake anawapoteza tena maboya kwa game mama nyingine!!! Inshort anaangalia zaidu mzigo ulipo.... sasa ww na Buku yako akili ikiwa sawa ukaenda mule mule kwenye mzgo kwa game mama ya siku ndo kilio ..... game fixing zipo sanna tena sanna mechi zinaishia mezani ..... Kampuni za kubeti zimeharibu sanna Uhalisia wa mpira!!!
 
Kweli kabisa mkuu. Kumbe hata wewe umeona?
 
Ko kampuni zote za beti ama?🤔
 
Sasa mfano ulioutolea apo Kwa Lakers mi nmeeka Lakers win sijacheza over si nakuwa nshakula nakuwa nmeukwepa msala wa mechi fixing anyway vyovyote vile ata wakipanga matokeo BDO Kuna watu watakula. Kila mtu na upepo wake mfano man city vs Luton apa wengi watamfata city win mfano odds 1.23 afu mwengne aakaona city win odds chache akamfata Luton apate tu goli odds 1.43 labda ko ni upepo wako tu unavoeka
 
Hizi kampuni za kubeti wanaangalia game gani ndo game mama kwa siku husika na ndo inafanyiwa game fixing match inaisha nje ya uwanja .... mfano mimi nacheza sanna baskett game mama labda inaeza ikawa ya Lakers wengi wameeka lakers apate vikapu 105.5 kwenda juu utashangaa game inaisha lakers ana vikapu 104 na kama team pinzani mzigo uliwekwa sanna apate vikapu 107.5 game inaisha 104 - 98 hapo kamaliza kazi kesho yake anawapoteza tena maboya kwa game mama nyingine!!! Inshort anaangalia zaidu mzigo ulipo.... sasa ww na Buku yako akili ikiwa sawa ukaenda mule mule kwenye mzgo kwa game mama ya siku ndo kilio ..... game fixing zipo sanna tena sanna mechi zinaishia mezani ..... Kampuni za kubeti zimeharibu sanna Uhalisia wa mpira!!!
Kiufupi ata katika hzo hzo match fixing BDO unaweza ukala koz betting ni mchezo wa bahati nasibu Kwa vile hakuna anayejua mechi imepangwa VP wanaweza wakala wamepanga iwe 0-0 afu mwengne kaeka under mwengne 1x mwengne x2 au win to nill ko apo BDO wamekula. Shida wakamalia wengi wanakariri mechi Fulani uhakika sijui timu flan lazma ishinde Yani wanaingia na matokeo mkononi mwisho wa siku wanaweza kulia oooh sijui mechi imepangwa 😂 tuendelee kubahatisha tu mpira unachezwa uwanjan hakuna mechi ya uhakika nakuambia Bali Kuna soko lenye uwezekano mkubwa sana kutokea lakini sio asilimia mia ndomana over 0.5 zinachana gemu inaisha 0-0 japokuwa over 0.5 nyingi Zina asilimia 90% + uwezekano mkubwa
 
Mwenye grupu la wasap la kupeana tips za betting naomba link au aniadd. ila hlo grupu liwe la wote kuchati sio Yale ya only admin
 
Chagall 2_3
 
Attachments

  • 1714384858830.jpg
    1714384858830.jpg
    346.5 KB · Views: 4
  • Screenshot_20240429-123434_Lite.jpg
    Screenshot_20240429-123434_Lite.jpg
    355 KB · Views: 2
Back
Top Bottom