Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kesho mapema jamani eeeeeee

Ajira ya weekend inalipa mnoo🤣🤣🤣🤣

Wee Inter Milan nilikukimbia kama ukoma,maana najua tu mpaka Mmiliki we anaBet,hizi Mechi A mwisho lazima mqsnema yawe mengi
 
Atletico niliomba 2+ naona mpaka sasa jahazi linazama ndugu zangu.
 
Screenshot_20240505-113345.png
 
Girona(inatamkwa jirona) are heading to the champions league

and Real madrid are the champions of La liga.
 
Back
Top Bottom