Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Leicester na Leeds hawajaacha kweli vilio humu maana double chance ya 1x kulaleki
 
Kesho mapema jamani eeeeeee

Ajira ya weekend inalipa mnoo🤣🤣🤣🤣

Wee Inter Milan nilikukimbia kama ukoma,maana najua tu mpaka Mmiliki we anaBet,hizi Mechi A mwisho lazima mqsnema yawe mengi
 
Atletico niliomba 2+ naona mpaka sasa jahazi linazama ndugu zangu.
 
Girona(inatamkwa jirona) are heading to the champions league

and Real madrid are the champions of La liga.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…