Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Everton FC - Tottenham Hotspur
X
3.30

Manchester City - Sunderland AFC
Manchester City
1.26

Total Odds 4.16
 
Hahahahaha sibetii mshahara, nimeweka buku 2 imetoka laki 3 na nusu after tax kama ikitiki fresh ikibuma 2000 sio ishu sn
Alafu ktk ilo kokolo la majaribio binafs team ambayo inanipa mashaka sana ni stoke.....nahisi sare pia inawezekana sana tho katika mechi zao nne zilizopita hakujawahi kutokea sare!!!But ni betting hatuna hakika so far nini kitajiri
 
Wadau baada ya kumtafakari sana kanji, silaha za kummaliza Leo kwny ufunguzi wa epl ni tatu tu GG, Over 1.5 na Under 4.5, twende kazi, Jah bless
 
Pardubice - FK Viktoria Zizkov
Over 1.5 goals
1.36

Shonan Bellmare - Sanfrecce Hiroshima
Over 1.5 goals
1.24

Legia Warszawa - Motor Lublin
KP Legia Warszawa
1.22

Vissel Kobe - FC Tokyo
Over 1.5 goals
1.33

Odd 2.74 za asubuhi hii ambazo ni 90% safe
 
Tembelea nyota za watu jaribu hii site uokote kinacho kufaa leo ujumlishe na zako..
Match predictions, statistics and tips for 2016-08-13
 
sina hamu na meridian, nimetuma pesa kwa akaunti masaa matatu sasa hazijafika. Nahamia premire bet
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…