Void ab initio
JF-Expert Member
- Mar 1, 2015
- 5,720
- 5,659
Safi sana, hongera mkuuUshauri wako niliufata kaka
Safiiii🔥[emoji120]View attachment 2985019
Rudia kidogo ufafanuzi wa -56/60!!! nitajarib tena. niliwai kulipiga tren lote la mechi 60!
sema nilishamrudishia kilicho chake mhindi!
Hata hivyo hii ni betting burudan!
Betting biashara huwa kila siku ni timu 1 au 2 tu. odds 1.4 max.
Huwa natia 100k tu.
Mradi una faida ya 30k+ kila siku.
matumizi yangu ni 10k
Niko sambamba na mwenye IST ya mil 15 ya biashara!
March 2024 nimemaliza mwaka sijapoteza pambano.
Mtu akisema betting hailipi huwa nahis ni kubet kitamaa ya kubutua!
Tija jero tu mkuuMkuu hili tego linatamanisha sana
Option inayomfaa kwa kipindi hiki ni under (total goals)Da! Mamelod sundown amekuwa watermelon
Uñavoeka stake kubwa odds ndogo unajiwekea uwezekano mkubwa sana wa kula hii ndo njia rahisi ya kumla kanji Kuna madon wanaeka milion odd 1.10+ anapata laki ko mwenye nacho huongezewa kama we huez kustake Hela kubwa unahofia basi endelea kueka jero. Bet for your own risk and bet what you can afford to loose .NB the higher the risk the greater the return ko usishangae mtu anastake milion kwny odd 1.10+ apate faida ya laki apa amerisk ili apate mfano ww buku upate laki odds zako zitakuwa 100 lakin aliyeeka milion odd 1.10 tu ko apo utaona mwnyw uwezekano mkubwa wa kula ni yupiWakuu kwa unyenyekevu nakuja kwenu naombeni mbinu za kumpiga kanji hata kidogo, maana naliwa mwenzenu yaani kanji kanigeuza malaya wake ananifanya anavyotaka kila siku
kuna tofauti ya kubet kwenye odd ndogo, na kubet kwenye odd yenye value... uyo anaebet kwa milion 1 katika odd ya 1.10 kumbuka sio risk free hapo, anaweza kuliwa... na akiliwa milioni mpaka aje kuirudisha kupitia hiyo strategy yake ni mechi kumi na ningumu kuwin mfululizilo mech kumi hata kama ni odd ya 1.10Uñavoeka stake kubwa odds ndogo unajiwekea uwezekano mkubwa sana wa kula hii ndo njia rahisi ya kumla kanji Kuna madon wanaeka milion odd 1.10+ anapata laki ko mwenye nacho huongezewa kama we huez kustake Hela kubwa unahofia basi endelea kueka jero. Bet for your own risk and bet what you can afford to loose .NB the higher the risk the greater the return ko usishangae mtu anastake milion kwny odd 1.10+ apate faida ya laki apa amerisk ili apate mfano ww buku upate laki odds zako zitakuwa 100 lakin aliyeeka milion odd 1.10 tu ko apo utaona mwnyw uwezekano mkubwa wa kula ni yupi
Mkuu wakati unamjibu mtu uwe unatumia akili, busara na lugha nzuri. Kumbuka hii thread ina ma'legends na wageni, sio kila mtu ni mtaalamu wa kubeti, wengine ndio wanaanza. Wewe hujawahi kuona mtu anauliza handcap ndio nini!!??Mnatuchosha na nyie nao,hivi watu kama nyie bado mpo Mjini kweli?
Yaani umri huo unauziwa mkeka?
Kwani wanacheza wao?
Amka huwezi kama KAMARI fanya Kazi sahihi yenye kipato cha kueleweka,huku unapoteza mtaji mpaka akili kama utaingia kwa akili za sure ODDS
Shida wengi mnawaza tu kwamba akiliwa sasa nkuulize ww kwann unabeti????? Sa unavopoteza hvo vijero jero vyako kla sku kwann? Kuna mechi unaona kabisa timu flani iña nguvu sana ya kushinda mfano man city unakuta ana probability 90%+ ya kushinda wenzako wanatia mpunga afu hawabetii kitamaa km wwkuna tofauti ya kubet kwenye odd ndogo, na kubet kwenye odd yenye value... uyo anaebet kwa milion 1 katika odd ya 1.10 kumbuka sio risk free hapo, anaweza kuliwa... na akiliwa milioni mpaka aje kuirudisha kupitia hiyo strategy yake ni mechi kumi na ningumu kuwin mfululizilo mech kumi hata kama ni odd ya 1.10
Afu uyo anayeeka milion usfkira kaenda kuikopa hyo Hela Yani ye kustake milion Haina tabu Kwa sababu ame afford ku lose hcho kiwango. shida ww unaona betting ni mchezo wa 50/50 kama vile kurusha sarafu bichwa au mwenge akat betting timu A Ina 80% to win na B 10% to win afu draw 10% ko Apa ww utarisk Hela Yako kwny 10%🤔??? Swala la mpira kudunda Huwa linatokea ndio lakini timu yenye nguvu ni iña nguvu tu sikuzote ndomana unakuta timu imeshinda mech 30 kwny ligi afu Kuna nyengne haijashinda kabisa mech ata Moja. Ko mtu anavostake milion kwny 1.10 odd means ana 90% probability ya kula na 10% kuliwa so think wiselykuna tofauti ya kubet kwenye odd ndogo, na kubet kwenye odd yenye value... uyo anaebet kwa milion 1 katika odd ya 1.10 kumbuka sio risk free hapo, anaweza kuliwa... na akiliwa milioni mpaka aje kuirudisha kupitia hiyo strategy yake ni mechi kumi na ningumu kuwin mfululizilo mech kumi hata kama ni odd ya 1.10
Najua kwny betting kuliwa kupo ata kama timu Ina 99% ya kushinda ndomana tunastake kistaarabu tunachomudu kupoteza. Tunatofautiana viwango mwengne kustake milion ni kawaida kwake anamudu kupoteza hyo million ndomana hajaeka 5 M koz hakuna 100% sure matchMi Bora anikosoe mtu ambaye habeti lakini mtu naye anabet afu anaona wivu mtu kastake milion odd 1.10 afu yeye kastake buku odds 100 anaanza kusema oooh sijui umerisk milion upate laki ukiliwa itakuaje 🤔 sasa yy anastake apate laki afu kaeka buku odds 100 yupo na matumaini afu anamkandia higher staker