Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wakuu hivi ukiwa unacheza casino games za PM bet halafu screen inabaki kuwa blank (nyeusi) muda wote shida nini. Najaribu kuwasiliana na customer care wa PM bet lakini wanashindwa kurespond
 
UW0A41Z bp
today's , bullet train well customised for bills clearance!
Stake with Pride!
 
game za live zina raha yake sana unausoma mchezo View attachment 2984285
Screenshot_20240508-000108_1xBet.jpg
 
Hivi professional punter kama Governer of all bettors, anaweka odds ngapi kwa siku ! Atushauri sie vijana wake tumlaje kanji
 
Code:- 106392

Weka Elfu 3,000 kisha subiria kwa wakala either kutoa au kuweka🤣🤣🤣

Matches zote hizo hapo two pages

Screenshot_20240508-125606.png

Screenshot_20240508-125637.png
 
Wakuu je Hawa jamaa wanao UZA mikeka telegram ni wa kweli
Mnatuchosha na nyie nao,hivi watu kama nyie bado mpo Mjini kweli?

Yaani umri huo unauziwa mkeka?

Kwani wanacheza wao?

Amka huwezi kama KAMARI fanya Kazi sahihi yenye kipato cha kueleweka,huku unapoteza mtaji mpaka akili kama utaingia kwa akili za sure ODDS
 
Back
Top Bottom