Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

huu mkeka niliwapa toka jana saa tano usiku
Screenshot_20240507-202334.jpg
 
1xBet ni ya kijanja ila inazingua kwenye kusachi mechi na kuangalia history. unatumia nguvu nyingi kwelikweli kufanya hivyo vitu.

waliangalie hili suala linawapa shida wateja wake.
 
Wakuu ninataka nijilipue 400k kwa gem mbili direct winn PSG na REal kesho nipeni ushauri maana muhindi kanipiga hii miezi miwili nina loss ya 3m aisee
 
Wewe ndio ufungue macho!! Sio kila mtu hana pesa kama wewe
We jamaa yaonesha ujitambui, na usipokuwa makini usije ukatapeliwa . Mtu mzima usikiliza na kuuliza kwanini ili apewe sababu. Sasa nakwambia Chukua iyo stake zidisha na odds afu toa na iyo TAX uone kama inakuja iyo hela taslimu.
 
Wakuu ninataka nijilipue 400k kwa gem mbili direct winn PSG na REal kesho nipeni ushauri maana muhindi kanipiga hii miezi miwili nina loss ya 3m aisee
Mkuu Muhindi akikupiga ukipanik tuu anakumaliza mazimaaaa

Tatizo kwenye betting tumejiwekea lazima Big matches tuzicheze,wakati ndio zinaongoza kuchana
Kuna Jirani Yangu kampiga kanji 10 millions,na Falsafa yake huwa havet team kubwa,yeye ni league ya NBC na Team za kawaida.

Subiria Weekend
Au mpe Young Africans direct Win kesho ujitulilie zako
 
Wakuu ninataka nijilipue 400k kwa gem mbili direct winn PSG na REal kesho nipeni ushauri maana muhindi kanipiga hii miezi miwili nina loss ya 3m aisee
Mdau Natumai maoni yangu yalikufikia

KANJI ukimfuata kwa hasira yeye anakupigia Bolingo nangai badala la kuchikuchi khotahe
 
Back
Top Bottom