Foffana
JF-Expert Member
- Oct 29, 2022
- 861
- 1,547
Anaongoza tayariATALANTA wakitoa boko na leo ntaachana kabisa na matimu ya italy
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Anaongoza tayariATALANTA wakitoa boko na leo ntaachana kabisa na matimu ya italy
Niliweka over 1.5 naona kama jahazi linazama.Fenebahce kashikilia roho yangu kwa usiku huu
Mimi nimeenda nae kwa win na amebaki yeye tu., apige goli roho itulieNiliweka over 1.5 naona kama jahazi linazama.
Cha kushangaza ambayo umeuruka ndio imetoka over 1.5 mapemaaNiliweka over 1.5 naona kama jahazi linazama.
Madogo form yao mbovu ni leo tu maiti imemng'ng'ania muoshajiCha kushangaza ambayo umeuruka ndio imetoka over 1.5 mapemaa
Maana hapo anaeikimbilia Ubingwa na anaetaka kushushwa Daraja
Halafu mhindi alivyokua noma sasa ukicash out tu ndo fenebahce anapiga goliCha kushangaza ambayo umeuruka ndio imetoka over 1.5 mapemaa
Maana hapo anaeikimbilia Ubingwa na anaetaka kushushwa Daraja
Aiseeee utafikiria makampuni yanajua🤣🤣🤣🤣Hii man u kama ingewezekana kwenye kampuni la kubeti unaificha kabisa yaani isionekane.
Mpaka sasa kashazamisha jahazi.Aiseeee utafikiria makampuni yanajua
Wakuu Man U na Lyon watapata magoli kweli? Watoe G