Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wewe jamaa kila page unapost kitu kimoja tu
 
Mimi ndio mchezo wangu huo nambetia yanga tu 1 m nyumbani na ni uhakika nakula hela watu wanajiuliza nafanya kazi Gani kumbe azizi ki ndio anafanya naenjoy maisha yaani na simba Nate angekua Bora ingekua Bomba zaidi. Asikuambie mtu yanga mechi za ligi akiwa home uhakika hamna Cha mpira kudunda Kwa hii timu Sasa hivi
 
27O5RXF bp.
treni la leo. dar-lubumbashi. bet burudani
nguvu ya win to Nil
1. ina nafasi 1 tu ya kukosa.
2. ina nafasi 3 za kupatia.(gg, no gg na direct win)
3. ina timu nyingi za kujaribu.
Kwa wapenzi wa roll-over tuanzishe mradi wa siku 14. odds 1.3 times 2 @ day!
Huko ndo kubet kibiashara.
 
Nakubali mwamba weka kitu

 
Code inagoma hii mkuu
 
BET WAY IS THE WAY TO GO
🐦TIMU 30 CODE 9C7C7A8
🐦TIMU 10 OPTION YA GG CODE 9C7CD29
🐦TIMU 12 DIRECT WIN OPTION CODE 9C7D3D6
 
Huo mkeka wa milion uko wapi?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…