Shooter Again
JF-Expert Member
- Sep 6, 2022
- 5,603
- 9,263
Sawa mke wanguMumeo
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Sawa mke wanguMumeo
Malizia sentesi yote "Sending Off". Kwa lugha nyepesi kadi nyekundu.Hiyo sending ndo inamaana gan
Kwa hiyo hapa watu wakiona hivi watajua tu ni kampuni gani?0FE48DE hayaaa
Calculations zipo sawa mkuu! Stake za laki tano mpka 2 m kawaida kwa baadhi ya wadau, anatupia single match.We jamaa yaonesha ujitambui, na usipokuwa makini usije ukatapeliwa . Mtu mzima usikiliza na kuuliza kwanini ili apewe sababu. Sasa nakwambia Chukua iyo stake zidisha na odds afu toa na iyo TAX uone kama inakuja iyo hela taslimu.
Nimekaa kimya kwa mdaa sasa lakini leo nasema ukweli.0FE48DE hayaaa
Nimeenda na hii, nimejilipuwa
Asante mkuu, nime stake 10k tu. Ngoja tusikilizie tuone50E4E8 hizo mkuu
Tuko pamja mkuu, asante kwa mrejesho. Kanji ndo adui wetu, acha tuendelee kumtafutaNimekaa kimya kwa mdaa sasa lakini leo nasema ukweli.
mtoto wa mjomba we jamaa hii mikeka yako naipiga sana, kwasababu nikipata hint apa naenda naboresha na wa kwangu natoka na odds zangu chache natulia.Pia ni mizuri kwa mtu ambaye anazijua timu vizuri.
NB;Hapa wengi mikeka wanayoiweka ni mizuri lakini sio confidential sana,pia ukiwa na uwezo wa kuchagua timu zako vizuri basi utapata tu maokoto.
Big up kiongozi [emoji123]usichokee kuleta hint[emoji119]
Wakamaria wenzangu, nisaidieni odds 3 au 4 nataka ku stake 50k