Dortmund kashamaliza kazi yake ameshapataa uwakika wakucheza UEFA next season.Dortmund kazi anayo leo
Haya ngoja tumpige 7 sasaDortmund kashamaliza kazi yake ameshapataa uwakika wakucheza UEFA next season.
Wakamaria wenzangu, nisaidieni odds 3 au 4 nataka ku stake 50k
Mamelod mbona alishinda mkuuDortmund na Mamelodi
Ulimpa mazima au DCOrlando pirates anataka kuchoma mkeka. Mwafrika sio wa kumuamini aisee
Direct winUlimpa mazima au DC
Utaja frwa wewe. Onhoo. Mimi nimejaribu kuangalia nani ana upepo. Huyu jamaa yuko vzuri. Ndio maana nimemleta hapa. Yaani nipoteze muda kusuka mkeka kutumia watu ntaweza kweli mm.Sema tu huyo ni wewe, kajiuzie mwenyewe mikeka yako,
Kiujumla soka la Kenya cyo,,,,, kuna mahali wameamua kupita njia zaoWazee kuweni makini na ligi hizi ndogo, Kuna clip nimeona Kuna jamaa ligi ya Kenya kakutwa na mchezaji wanapanga matokeo jamaa ameshushiwa kipigo Cha kufa mtu na wenye timu 😃😃
ZAEM7GL betpawa