Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

TKT 4
R.VIENNA 3+
HAKDUK WIN
SALZBURG W
SSTURM GRUZ W
LYON1X
ARSENAL 2+
 
OV 2.5
MANCITY
LIVERPOOL
INTER
LUTTON
CERCLE BRUGGE

ALLDBEST
 
DRW OF THE DAY
KALAMATA FT X 4.00
EL GOUNA DRW 4.00
KARNOBAT FT X 4.20

SINGLE
 
Corners and 1.5 Bookings only:-

SPORTBETY:Weka Buku

F282B1

Note:-
Sio sure Codes,maana Sichezi wala sichezeshi mie

Tukutane kwa Wakala kesho Asubuhi
 
Wadau. Kwa kumalizia epl, malizeni hivi.

City vs Westham united. Westham total Coner O 1.5 Ft. Odds 1.63
Liverpool vs Walvehamton. Wolve total coner ft O 2.5 odds 2.03
Shefild total coner ft O 3.5. Odds 1.72.

Niwatakie kazi njema.
 
Jana Bundesiliga MAGOLI over 1.5 zote na leo Epl over 1.5 zoote.
Tusibiri msimu uanze,tuanze nao
 
Binafsi Nimeanza formula mpya ya kubet kuanzia wiki kama mbili hivi zimepita na mtaji wangu wa Tsh 50,000/= na odds za 1.25 kila siku natoa hela baada ya siku 10, kwa sasa sihangaiki na odds mulima za kupata utajiri. Ukifanikiwa kupata odds 1.25 kwa siku 10 hapo una kitu cha 340k na chenchi inabaki
Nimejaribu kuangalia umejiunga lini Hili. Group kumbe juzi tu

Fungua au browser humu utakuta kuna watu weeengi mnoo walikuwa na mfumo huo Tena odds 1.10 to kwa stakes mpaka za 500,0000,walipotea kama Wametoka na Dem Guest za mtaani.

Ni njia hiyo watu karibia 80% wameishaitumia na kupotee kimya kimya wenye kujikaza walirudi humu na kuishia kutukana teams tu, Is not a new strategic betting set up ila Hesabu zake ni Rahisi mnoo on paper
 
Back
Top Bottom