ili kitokee nini kijanaMzee maneno mengi ya nini weka Salio hapa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Kweli we jamaa ni mbunge au huwa unatupiga fix tu?kwani mie wewe?
mie niache kuhangaika na wananchi nibabaike kumnufaisha muhindi, kweli? kwamba nishindane na wewe kumpa muhindi ulaji 🐒🐒
fix haitasaidia chochote kwangu, kwako ama kwa mwanainchi wa kawaida. muhimu zaidi, ili tusonge mbele na kushamiri kiuchumi, lazima tuchape kazi kwa bidii zaidi, bila kukata tamaa na kupendelea njia za mkato. hapana mafanikio rahisi ndrugu zanguKweli we jamaa ni mbunge au huwa unatupiga fix tu?
Huna jipya kumbe mpiga kelele halafu choka mbaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣ili kitokee nini kijana
Mbunge wafix haitasaidia chochote kwangu, kwako ama kwa mwanainchi wa kawaida. muhimu zaidi, ili tusonge mbele na kushamiri kiuchumi, lazima tuchape kazi kwa bidii zaidi, bila kukata tamaa na kupendelea njia za mkato. hapana mafanikio rahisi ndrugu zangu
na mimi nawashukuru sana JF family kwa heshima ile mmenipatia siku zote. na saa zingine mzaha na matani ya hapa na pale, nafurahi sana kuchangamana na wanainchi wa mtatandao huu nchi nzima. maoni, mtazamo na changamoto wanazoibua humu jukwaani kwa niaba ya wanainchi zimenisaidia sana katika kazi zangu za siasa, kijamii na hata kiuchumi. Naamini wengi pia wamefahamu na kuelewa mambo mengi humu jukwaani
Gazeti refuuu hata million 1 huna hahahahah kelele kibao kumbe mfukoni hamna kitu jamii forums hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣fix haitasaidia chochote kwangu, kwako ama kwa mwanainchi wa kawaida. muhimu zaidi, ili tusonge mbele na kushamiri kiuchumi, lazima tuchape kazi kwa bidii zaidi, bila kukata tamaa na kupendelea njia za mkato. hapana mafanikio rahisi ndrugu zangu
na mimi nawashukuru sana JF family kwa heshima ile mmenipatia siku zote. na saa zingine mzaha na matani ya hapa na pale, nafurahi sana kuchangamana na wanainchi wa mtatandao huu nchi nzima. maoni, mtazamo na changamoto wanazoibua humu jukwaani kwa niaba ya wanainchi zimenisaidia sana katika kazi zangu za siasa, kijamii na hata kiuchumi. Naamini wengi pia wamefahamu na kuelewa mambo mengi humu jukwaani
kuchoka ni sawa, ila sio unachoka kizembe zembe kama kumpelekea muhindi elfu2 yako, akiwa ameketi mezani amekunja nne. ndugu wanaichi sio vizuri kulazimisha kua maskini, tena unaomba na ushauri kabisaHuna jipya kumbe mpiga kelele halafu choka mbaya🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Huna Cha kunishauri Sasa wewe ambaye haubeti halafu choka mbaya utanishauri nini wakati Mimi nabet na Nina pesa yaani unapiga kelele hapa kumbe hata million 1 tu huna hahahahahahahahahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣kuchoka ni sawa, ila sio unachoka kizembe zembe kama kumpelekea muhindi elfu2 yako, akiwa ameketi mezani amekunja nne. ndugu wanaichi sio vizuri kulazimisha kua maskini, tena unaomba na ushauri kabisa
hii huwezi kijana, kama ni mvivu,Mbunge wa
Gazeti refuuu hata million 1 huna hahahahah kelele kibao kumbe mfukoni hamna kitu jamii forums hii🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Mbunge Gani hata Million 1 Hana jamii forum hiii hahahahahahaha eti mbunge🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣hii huwezi kijana, kama ni mvivu,
Ni lazima Neema na Baraka za Mungu ziambatane na kuandamana nawe kufanya haya, vinginevyo utababaika sana itakuboa sana, na mbaya zaidi mihemko itakua ndugu yako tu bila wasiwasi wowote
mwenye hela anababaika namna hiiHuna Cha kunishauri Sasa wewe ambaye haubeti halafu choka mbaya utanishauri nini wakati Mimi nabet na Nina pesa yaani unapiga kelele hapa kumbe hata million 1 tu huna hahahahahahahahahahahaha 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Onyesha million 1 tu kwenye account kama unayo mzeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣mwenye hela anababaika namna hii
unaniita mzee halafu unataka kunichezesha michezo ya kitotoOnyesha million 1 tu kwenye account kama unayo mzeeeee🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Onyesha million 1 tu hahaha yaani haubet halafu hata million 1 huna hii kali halafu unashauri watu wasibet 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣unaniita mzee halafu unataka kunichezesha michezo ya kitoto
sina haja kijisifia kwamba nina pesa wakati ni za wanainchi....Onyesha million 1 tu hahaha yaani haubet halafu hata million 1 huna hii kali halafu unashauri watu wasibet 🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣
Tafuta pesa mzee 🤣🤣🤣🤣sina haja kijisifia kwamba nina pesa wakati ni za wanainchi....
one million si kitu ya kushindana mtu ili eti upate sifa, ni utoto wa kizamani. Ile kitu niko nayo ni kwaajili ya kazi ya wanainchi na sio ya mashindano ama kubeti