Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Tafuta pesa mzee 🤣🤣🤣🤣
ipi tena kijana, :pedroP:

hiyo unayotoa kidogo kwenye kodi inatosha kusaidia kuniwezesha kukufikishia huduma za afya, umeme, maji n.k
nasikitika tu katika hiyo unayo mpelekea muhindi, pia serikali inapata kidogo kodi ndio hiyo inasaidia maswala ya amani na utulivu nchini, na wewe ukibaki na hali mbaya kiuchumi:spandauB:
 
Tafuta pesa mzee🤣🤣🤣🤣🤣
 
Mkuu Ile milioni kama umeweka kwenye Simba na yanga zimetoa
Hajaweka uyo dogo lengo halikua kuomba ushauri lengo lake lilikua ni watu waone tu kama ana milioni kwenye akaunti. Dogo ana ulimbukeni wa kumiliki milioni. Wanao stake milioni hawanaga mbamba za kuomba ushauri na kuonyesha akaunti ina kiasi gani
 
ZA91MZ3 betpawa
Screenshot_20240529_002838_Chrome.jpg
 
Hajaweka uyo dogo lengo halikua kuomba ushauri lengo lake lilikua ni watu waone tu kama ana milioni kwenye akaunti. Dogo ana ulimbukeni wa kumiliki milioni. Wanao stake milioni hawanaga mbamba za kuomba ushauri na kuonyesha akaunti ina kiasi gani
Tafuta pesa 🤣🤣🤣🤣🤣🤣
 
🗓 Today's Tips| Wednesday.

🚨 Select 3 to 4 games as Maxbet and do not stake as an Accumulator.

🇺🇦 Epitsentr Vs Veres Rivne.
➡️ Away win or Draw.

🇰🇿Tobol Vs Atyrau.
➡️ Home win or draw.

🇪🇬 Arab Contractors Vs Tersana.
➡️Home win or Draw.

🇷🇺 Ural Vs Akron Togliatti.
➡️ Home win or draw.

🇺🇿 Pakhtakor Vs Nasaf Qarshi.
➡️ Away win or draw.

🇰🇿 Aktobe Vs Yelimay semey.
➡️ Home win or draw.

🇫🇮 Klubi 04 Vs Keski.
➡️ Home win.

🇳🇴 Bodo/Glimt Vs Sandefjord.
➡️ Home win.

🇳🇴 Brann Vs Kristiansund.
➡️ 1X & Ov 1.5 Goals.

🇸🇪 Mjallby Vs Hacken.
➡️ Over 1.5 Goals.

🇪🇬 El Giash Vs Bur Fouad.
➡️ Home win.

🇮🇱 Hapoel Kfar SabaVs Ms Tira.
➡️ Over 1.5 Goals.

🇫🇴 HB Torshavn Vs Vikingur.
➡️ Over 1.5 Goals.

🏆 Olympiacos Vs Fiorentina.
➡️ Under 3.5 goals.

🏆 Estudiantes Vs Huachipato.
➡️ Over 1.5 Goals.

🏆 Lanus Vs Ciuaba.
➡️ Home win or draw.

👨‍💼💼For VIP premium tips. Contact Admin👇
0810 462 6294

🙏 Help us grow by following us and sharing our posts. 😊✅

❤️ Give us 50 Reactions for tomorrow's tips.
 
fix haitasaidia chochote kwangu, kwako ama kwa mwanainchi wa kawaida. muhimu zaidi, ili tusonge mbele na kushamiri kiuchumi, lazima tuchape kazi kwa bidii zaidi, bila kukata tamaa na kupendelea njia za mkato. hapana mafanikio rahisi ndrugu zangu :BASED:

na mimi nawashukuru sana JF family kwa heshima ile mmenipatia siku zote. na saa zingine mzaha na matani ya hapa na pale, nafurahi sana kuchangamana na wanainchi wa mtatandao huu nchi nzima. maoni, mtazamo na changamoto wanazoibua humu jukwaani kwa niaba ya wanainchi zimenisaidia sana katika kazi zangu za siasa, kijamii na hata kiuchumi. Naamini wengi pia wamefahamu na kuelewa mambo mengi humu jukwaani :BASED:
Huu mwandiko unafanana na aliyekuwa waziri wa utalii na Mali asili. Nimebet
 
Back
Top Bottom