Tlaatlaah
JF-Expert Member
- May 18, 2023
- 24,665
- 25,388
ipi tena kijana,Tafuta pesa mzee 🤣🤣🤣🤣
hiyo unayotoa kidogo kwenye kodi inatosha kusaidia kuniwezesha kukufikishia huduma za afya, umeme, maji n.k
nasikitika tu katika hiyo unayo mpelekea muhindi, pia serikali inapata kidogo kodi ndio hiyo inasaidia maswala ya amani na utulivu nchini, na wewe ukibaki na hali mbaya kiuchumi

