Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

#WorldCupQ

πŸ•’FT
B. Faso 2-2 Sierra L
Ghana 4-3 C. Africa
Guinea 0-1 Mozambique
 
KENYA πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘πŸ‘

Mpira wenu umekuwa mnoooo,pamoja na kufungiwa kipindi kirefu ila uwezo mmeuonyesha.

Tunasubiria na sie πŸ‡ΉπŸ‡ΏπŸ‡ΉπŸ‡Ώ Saa moja

Ila mmeseepa na Kijiji Mpaka na mwenyekiti wakijiji
 
Mechi ya staz inarushwa azam?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…