Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

USICLICK KITU USICHOKIJUA.

1xbet kuna option inaitwa powerbet, hii option haifai kabisa, tena kabisa. inakuweka kwenye uwezekano mkubwa wa kulose na winning amount yako inapungua.

mfano una pending bet slip yako umeweka double chance unatakiwa ushinde 1,000. wanakutamanisha wanakwambia click neno POWERBET kwenye pending bet slip yako ili winning amount yako ikue hadi 1,200. ukishaclick tu wanafuta original pending slip yako wanaweka nyingine kabisa ambayo hukuweka. kama uliweka ya double chance wanaweka direct win. hii option ya powerbet haifai.
 
TAZAMA SCREENSHOT:

pending betslip yangu (picha #1) nilistake 515.04 option ya handicap away (+1.5), odds 1.34, natakiwa kuwin 690.15.

wakanitamanisha, kwenye pending betslip yangu wakaniambia niclick neno POWERBET ili winning amount ikue hadi 740, na mimi bila kujua nikaclick. matokeo yake ile original betslip wakaiondoa (wakairemove) wakaweka nyingine ambayo sikuweka (picha #2). hii waliyoweka wamepunguza stake wameweka stake ya 484, wamebadilisha na option wameweka double chance (handicap ya away +1). hii option kama wangeweka stake yangu ileile ya 515, ingetakiwa niwin big amount kuliko ya kwao ya 740.

option ya POWERBET ni ya kitapeli, usitumie hiyo option.

Screenshot_20240612-080111_1xBet.jpg
Screenshot_20240612-080130_1xBet.jpg
 
ukitazama hizo screenshots. original betslip yangu waliyoremove ina uwezekano mkubwa wa kuwin kuliko waliyoniwekea ambayo sikuiweka. waliyoniwekea ina uwezekano mkubwa wa kuchana kuliko kuwin. nina wasiwasi kabisa betslip waliyoniwekea itachana tu

option ya powerbet haifai, ya kiwizi. usiitumie.
 
Vp mkuu ilitoa???
 
Kuna kitu ujakijua boss,,kabla ya kuklick huwa wanaonyesha kabisa kuwa uki power hiyo bet yako wao wanaiweka hivyo,kwa hiyo ni jukumu lako kukubali au kuacha.Hiyo tunacheza sana kwenye basket.
 
Vp mkuu ilitoa???
mpira umekwisha. mkeka walionibadilishia umekuwa refundud, stake ya 484 (siyo 515 tena) imerudishwa.

mkeka wangu waliouondoa umewin, huu ni udhulumati.

sijawahi kuona option ya kukulinda eti bookmaker anakubadilishia option halafu anapunguza na stake yako. kama ulistake 1,000 option ya over 1.5, basi bookmaker anajidai anakulinda anaondoa mkeka wako anaweka wa over 2.5 halafu stake anaweka 950, hii siyo sawa.
 
Nenda Parimatch. Hakuna huo ujinga!
 
akaunti ya parimatch ninayo. changamoto yao wanazidiwa option na 1xbet.

nimeshajifunza kosa nililofanya leo, siku nyingine wakileta powerbet yao, naikataa.
Usisahau a bird in hand worth two in bush. Bora Parimatch wa uhakika kuliko hao ambao ubembeleze. Lakini mwisho wa siku, uchaguzi ni wako.
 
Wakuu hivi helabet awanaga cash out mana kunakamkeka changu kamebakiza timu Moja ya mchezo wa tennis ilipaswa ichezwe Jana saa 18:30 jioni lakini aikuchezwa Jana imeletwa Leo saa 19:00 usiku lakini nimeifatilia yaonesha aikuchezwa Tena Leo naona bora nichukue kilichopo mana kwa hii situation naona kanji anampango wa kando atanipiga na kitu kizito
 
Kama imeahirishwa tena ndani ya 24 Hours basi leo leo pesa Yako inaingia na mechi hiyo inakuwa VOID
 
Back
Top Bottom