Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wapendwa wateja, kama shukrani na ishara ya imani kwa ushirikiano wenu licha ya mkeka wa jana kuchanika, leo nimekuja na mkeka wa ushindi wa uhakika. Mkeka huu ni zawadi maalum iliyochanganywa kwa uangalifu na ubunifu. Hakikisha unaufuatilia kwa karibu na kushiriki katika safari hii ya ushindi.
InShot_20240616_140523104.jpg

Mechi zetu za leo ni:
1. Osters IF vs Ostersunds FK - Timu zote kufunga (Yes) kwa odds 1.64. Mechi hii inaanza saa 10:00 jioni.
2. CD Argentino Monte Maiz vs CS Estudiantes San Luis - Timu zote kufunga (Yes) kwa odds 2.45.
3. CA Penarol Montevideo vs Racing Club Montevideo - Timu zote kufunga (Yes) kwa odds 1.92. Mechi hii inaanza saa 6:00 usiku.

Kumbuka, odds zote zikiwa ni 7.71, ni nafasi nzuri ya kuzidisha dau lako na kupata ushindi mkubwa. Usikose nafasi hii, ni muhimu kuwa na imani na mkeka huu.

By Mturutumbi
 
Wakati tukisubiria Serbia vs England wa mkeka uliopita wa 10 Odds Ili safari iishie kwa Wakala leo usiku

Nyingine hii:-
Twendeniii Tena na 10 Odds

SPORTBETY: Code: 529D95

Softcore:-

ANGALIZO: -
Hakuna guarantee wala 100% assurance ya CODES Zangu,na wala siuzi CODE but natulia kutengeneza mkeka kwa Akili Zangu mwenyewe, Mie sichezeshi mpira,wala Sichezi hizo Mechi,lolote likitokea ni matokeo ya mchezo

Twende Kazi:-

Screenshot_20240616-144936.png
 
Wapendwa wateja, kama shukrani na ishara ya imani kwa ushirikiano wenu licha ya mkeka wa jana kuchanika, leo nimekuja na mkeka wa ushindi wa uhakika. Mkeka huu ni zawadi maalum iliyochanganywa kwa uangalifu na ubunifu. Hakikisha unaufuatilia kwa karibu na kushiriki katika safari hii ya ushindi.
View attachment 3018652

Mechi zetu za leo ni:
1. Osters IF vs Ostersunds FK - Timu zote kufunga (Yes) kwa odds 1.64. Mechi hii inaanza saa 10:00 jioni.
2. CD Argentino Monte Maiz vs CS Estudiantes San Luis - Timu zote kufunga (Yes) kwa odds 2.45.
3. CA Penarol Montevideo vs Racing Club Montevideo - Timu zote kufunga (Yes) kwa odds 1.92. Mechi hii inaanza saa 6:00 usiku.

Kumbuka, odds zote zikiwa ni 7.71, ni nafasi nzuri ya kuzidisha dau lako na kupata ushindi mkubwa. Usikose nafasi hii, ni muhimu kuwa na imani na mkeka huu.

By Mturutumbi
GG tena kwa team za America Kusini
Sikushauri!!! Edit hizo option(gg) kwa hizo team mbili
 
Slovenia vs Denmark ov 1.5 goals ft odds 1.41
England ov 1.5 goals yy odds 1.52

Single bet.stake high
GOOD LUCK PUNTEES
 
Back
Top Bottom