mtoto wa mjomba
JF-Expert Member
- Mar 31, 2020
- 526
- 753
Mapema tuLos andes vs canuelas, gg odds 2.50
Lipukaa. Lipukaaa
Mkuu hii website inaitwaje
Machale yalinicheza nikaweka stake ndogoVipi huko hujadondoka 🤣🤣🤣🤣
Mkuu kwema?Portugal vs Czech Republic - Portugal Win
Turkey - Georgia - GG
Paide vs Vrapus - Paide Win
Kwa mikeka zaidi bofya hii link
Portugal - Czech: Angalia Mkeka wa Leo Hapa 18 Juni 2024
Umeishaweka Mkeka wako wa leo? Hapa utapata utabiri wa mikeka ya michezo mbalimbali kila siku bure. Unachopaswa kufanya ni kujiunga na kuwek...meridianbet1.blogspot.com
Hii ilinikuta kwa wabeligiji
Game bado mbichiCroatia wanachana mikeka leo!
Mzee vipi Leo,shusha codeYellow card ilikuwa under 1.5
Saa wewe utakuwa uliweka over 1.5
Maelezo yenyewe unajichanganya je huko kwenye mkeka sio ndio balaa
Ufupi umepoteza
Yellow card ilikuwa under 1.5
Saa wewe utakuwa uliweka over 1.5
Maelezo yenyewe unajichanganya je huko kwenye mkeka sio ndio balaa
Ufupi umepoteza
Aisee claim hiiiMkuu kweli apo nimekosea kwenye uandishi ila mi ni mzoefu wa aya mambo ...anyway apo imebaki iyo tu sasa nimeshangaa wameweka lose View attachment 3020855
Duhh Mdau nimesahau kabisa,nimebet ila humu nikasahau kutupia nilikuwa njianiMzee vipi Leo,shusha code