Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Hii Euro naivizia mpaka waingie round of 16 ndo nifanye uwekezaji😂😂😂
 
Jamaa wameshindwa kabisa kutafuta vyanzo vya mapato wakaona hela ipo kwa mbetiji!

Sasa kama stake tu inakatwa kodi kwa biashara gani niliyofanya!
Yaani hapo ni sawa na kukatwa kodi hela ya mtaji wakati haujafanya biashara yoyote. Unajua mtu kama unabet elfu 10 kushuka chini unaweza ukaona ni hela ndogo lakini kuna watu wanabet milion uko kwa iyo kukatwa 12% kwenye stake tu ni parefu
 
Kweli, tuanze kuzitafta kampuni za nje mapema kina sky bet,bet 365 na 1xbet maana hata sielewi tunaenda wapi
 
Dah kunawatu ni hatari sana kwenye correct score.
huyo ni mmoja tuu ila wapo ambao wanapiga mechi zote sita.
Haya ndo yale mambo ya bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi
1000293740.jpg

1000293741.jpg
 
Back
Top Bottom