Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Niliekua nasita kumuweka kwenye mkeka ndio huyo huyo kuachana😡😡😡😡

Anyway

Ngoja nisuke tena mikeka Mingine 5 na 10 ODDS

Hii Taasisi yetu iundiwe WIZARA
( WIZARA YA WAKAMARIA NA WACHANGIA SERIKALI)


Narudi tena
 
hizi kodi zilizopo Kenya kuanzia July 1 zitakuwa huku T

hizi kodi zilizopo Kenya kuanzia July 1 zitakuwa huku TanzaniaView attachment 3022479
Asa ndio nini wanafanya kama hawataki watu wabeti si ni bora wafungie betting yenyewe kuliko kulundika kodi kila sehemu

Ukiweka hela wanakata
Mkeka ukishinda wanakata
Ukienda kwa wakala wanakata bado wanaona haitoshi hata ile sh500 ninayo place bet waikate tena

Kwani makampuni ya betting hayalipi kodi? Nakama yanalipa kodi si ni pesa zetu ambazo tunaliwa kila siku ndizo zinalipa kodi. Kwanini wamlundikie mikodi lukiki zingine zikiwa hazina kichwa wala miguu mtu anayebeti

Kweli tuma viongozi vichwa box hawafikilii vyanzo vingine vya mapato zaidi ya kuongeza makodi kila sehemu. Hiyo sheria ikianza kutumika mi ni mmojawapo lazima nijisalimishe kwa mrusi 1XBET sitaki utoto na pesa yangu
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…