Governor of Bettors-GB
JF-Expert Member
- Jul 14, 2013
- 10,568
- 9,710
Dahh bonge la mnyooshooo dah macho sasa yataanza kukaa juu juu kuangalia kwenye unafuuhizi kodi zilizopo Kenya kuanzia July 1 zitakuwa huku TanzaniaView attachment 3022479
Duh.! Yaani stake inakatwa kodi halafu ukishinda bado unakatwa kodihizi kodi zilizopo Kenya kuanzia July 1 zitakuwa huku TanzaniaView attachment 3022479
Jamaa wameshindwa kabisa kutafuta vyanzo vya mapato wakaona hela ipo kwa mbetiji!Duh.! Yaani stake inakatwa kodi halafu ukishinda bado unakatwa kodi
Yaani hapo ni sawa na kukatwa kodi hela ya mtaji wakati haujafanya biashara yoyote. Unajua mtu kama unabet elfu 10 kushuka chini unaweza ukaona ni hela ndogo lakini kuna watu wanabet milion uko kwa iyo kukatwa 12% kwenye stake tu ni parefuJamaa wameshindwa kabisa kutafuta vyanzo vya mapato wakaona hela ipo kwa mbetiji!
Sasa kama stake tu inakatwa kodi kwa biashara gani niliyofanya!
Kweli, tuanze kuzitafta kampuni za nje mapema kina sky bet,bet 365 na 1xbet maana hata sielewi tunaenda wapiYaani hapo ni sawa na kukatwa kodi hela ya mtaji wakati haujafanya biashara yoyote. Unajua mtu kama unabet elfu 10 kushuka chini unaweza ukaona ni hela ndogo lakini kuna watu wanabet milion uko kwa iyo kukatwa 12% kwenye stake tu ni parefu
Tanzania na Kenya nisawa?Dahh bonge la mnyooshooo dah macho sasa yataanza kukaa juu juu kuangalia kwenye unafuu
12.5%
20.0%
So ni kama32.5% ya hela utakayopata
Nzania na Kenya nisawa?hizi kodi zilizopo Kenya kuanzia July 1 zitakuwa huku TanzaniaView attachment 3022479
HakunaWakuu kuna uwezekano wa kupata sure odd ya 1.3 kila siku?
Sure Odd ya uhakika kila siku haipo mkuu.Wakuu kuna uwezekano wa kupata sure odd ya 1.3 kila siku?
Tanzania hamna mambo kama hayo acha uongo mwigulu amesema ni 10% tu wakenya ndio hua wanateswa sana kwenye Kodihizi kodi zilizopo Kenya kuanzia July 1 zitakuwa huku TanzaniaView attachment 3022479
Subiria tarehe 1Tanzania hamna mambo kama hayo acha uongo mwigulu amesema ni 10% tu wakenya ndio hua wanateswa sana kwenye Kodi
Mzee hamna kitu kama hicho kenye Kodi ni 20% muda mrefu sana naona hata binge husikilizi ndio maana unakurupuka juzi tu mwigulu kasema betting ni asilimia 10%Subiria tarehe 1
Sina hakika labda nifuatilie nopate majibu ya uhakikaTanzania na Kenya nisawa?
Mkuu hii app ganiDah kunawatu ni hatari sana kwenye correct score.
huyo ni mmoja tuu ila wapo ambao wanapiga mechi zote sita.
Haya ndo yale mambo ya bahati ya mwenzio usilalie mlango wazi
View attachment 3023454
View attachment 3023455
Hiyo site ni ya betpawa na huo mchezo unaitwa pawa6 hizo unawekewa ucheze bureeee ukiweka correct score magoli watatoka ngapi ngapi!?Mkuu hii app gani