Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Chukua namba hapo profile njoo whatsapp upewe kwamda wa siku3 bure.
Hakuna odds ya uhakika mkuu kila siku. Lost zipo pale pale hata iwe odds ya 1.01. Hata mimi naweza kukupa odds 2 daily na ukawa unashinda. Lakini lost zipo, utashinda siku mbili na utakosa siku mbili. Kwahiyo Odds ya uhakika kila siku haipo. Kupoteza kuko pale pale
 
Euro ime nipa pesa sana kwenye natch zilizo pita over 0.5 first half. Ila saivi pimbi baadhi zime anza kuchoma
 
Chukua namba hapo profile njoo whatsapp upewe kwamda wa siku3 bure.
Mzee nimeanza kubet 2015 danganya wanaoanza kubet Sasa hivi hamna odds ya uhakika hata iwe 1.02 ipo siku itachana tu Sasa wewe unajifanya unajua hapa eti odds 1.50 bila kuchana yaani ingekua hivyo wewe ungekua tajiri namba Moja duniani sababu hiyo odds ya 1.50 ni pesa tosha kama Kila siku inawin pigia hesabu kwa mwaka tu utakua na utajiri wa kiasi gani danganya wageni wa betting
 
Wakuu kuna uwezekano wa kupata sure odd ya 1.3 kila siku?
Hakuna Sure Odds,ingekuwa hivyo Makampuni yasingekuwepo

Kabla ya kuingia kwenye KAMARI inabidi ujue kwamba huku sio sehem sahihi ya kutoboa kimaisha, probability ipo mbaya huku otherwise ukija na mindoto Yako utapoteza pesa nyingi mpaka akili itapotea

Unaanza KuBET huku kabisa unapoteza kwamba Jina Bahati nasibu hulijui


Chukua ODDS mbili hizo ukuze akili,usije kuibiwa Mjini hapa

2 ODDS

CODE:- 141E8DD

SPORTBETY:

 
Dah kweli tunatofautiana kimalezi na kimaadili. Kwani ilishindikana kumjibu tu kwa jibu la kistaarabu mpaka mwenzio umwambie hivyo? Hizi lugha jamani siyo poa hata kama hatufahamiani physically
Soma juu yeye maneno aliyoniambia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…