Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Stake laki 6 unapata elfu 10 hiyo akili au matope?
kiujumla tutafute pesa tuache kulalamika mm kuna mdau kanionyesha mkeka wake nakumbuk aliwek 100k game moja tu alafu kala 125k na ni kawaida yake yaan game moja au mbili anawek mpunga mrefu
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
 
Mwisho wa siku lazima hizo timu alizifanyia tathmini na sikubonyeza bonyeza tu, hiyo option ya no GG inafaa zaidi kwenye timu za America kusini hasa Brazil kuna ligue ndogo ndogo nyingi zinadondokea humo na hata wakiweka over 1.5 unakuta wanaweka odds 1.6.

Ukiona mtu ameweka mkeka wa hivyo ujue ana mikeka miwili mmoja ameusuka katika hizi taratibu zetu na mwingine ni mkeka wa LIWALO na LIWE na anaweka options moja tu
 
Kwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.



1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)

2. Ingia Invite & Earn

3. Bonyeza Redeem

4. Weka hii code 2ZJVO8ZK

Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Hii inamfaidisha zaidi Kwa anaeshare lini kuliko mpokeaji, hiyo sehemu yenyewe ya redeem haibonyezeki
 
Hivi wadau kule SPORTY BET Ile FLASH WIN Ina maana gani?
 
HIi ni correct score ya pawa ya kampuni ya betpawa.
dah kunawatu hatari sana katika correct score.
KAma mtu angesuka mkeka wa mech nne akaweka wa correct score kama hiii dah yan stake kizibo profit mlima kilmanjaro
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…