Kunguru wa Unguja
JF-Expert Member
- Aug 18, 2021
- 1,909
- 1,968
yooo ni level tu mkuu kila mtu na uwezo na game anazoamini kwa % kubwaBora uyo kaweka 100k kapata profit 25k,uyu mwenzako kaweka 600k anatafuta profit ya 10k
yooo ni level tu mkuu kila mtu na uwezo na game anazoamini kwa % kubwaBora uyo kaweka 100k kapata profit 25k,uyu mwenzako kaweka 600k anatafuta profit ya 10k
Wewe umekula Bei gani Leo mzee mwezio kala 10k dakika 90 tu🤣🤣🤣🤣🤣Bora uyo kaweka 100k kapata profit 25k,uyu mwenzako kaweka 600k anatafuta profit ya 10k
Hii kauli siipendi kama huwezi nisaidia acha tu kwa amaniKwenye betting utaliwa mpaka ujambe,muamini madebe lidai aliposema ukiona mtu kala kwenye kubeti jua kwamba huko nyuma alishaliwa sana
Mwisho wa siku lazima hizo timu alizifanyia tathmini na sikubonyeza bonyeza tu, hiyo option ya no GG inafaa zaidi kwenye timu za America kusini hasa Brazil kuna ligue ndogo ndogo nyingi zinadondokea humo na hata wakiweka over 1.5 unakuta wanaweka odds 1.6.Kuna jambo nimeliona. 95% ya kila game utakayocheza wote tunacheza hivyo hivyo. Kuna fala m1 kawa mjanja.
Kuna siku alichukua odds kuanza 2.70 mpaka 3+ akacheza NO, btts.
Akaweka stake ya 1090kapiga 3789000/=
Siku iliyofuata akajitoa tena ufahamu akatembea mwendo ule ule btts akaweka NO. game 7 odds kama 1800. Stake 3000 akishinda anapata 5800000. Zikatoka game 5. Game 1 ipo dk ya 80 na matokeo 3-0. Mgeni anaongoza.
Game nyingine ilikuwa inaanza baadae kama saa limoja mbele. Akatishia kujitoa. Mwindi akampa 239000. Nikamshauri asitoke. Akajitoa.
Niwaambie kitu. Mkeka ukatoka. Akipishana na cash money 5800000.
Nini tufanye...ukijaribunsana ujanja ukakufelisha, basi test ujinga.
Kazi njema
Hii inamfaidisha zaidi Kwa anaeshare lini kuliko mpokeaji, hiyo sehemu yenyewe ya redeem haibonyezekiKwa watumiaji wa Tigo Pata GB za bure kwa kufuta maelekezo haya.
1. Ingia TigoPesa app (Kama hauna download play store)
2. Ingia Invite & Earn
3. Bonyeza Redeem
4. Weka hii code 2ZJVO8ZK
Baada ya hapo utapata 2GB na DK kibao bure kabisa!!
Deal DoneTotal odds 3
(Meridian bet)View attachment 3035499
Ewe mkamalia imetikiGuemes vs Guillermo GG odds. 2.80
Ewe mkamalia Usiache odds. Hio
BOOM kwa wale mliofuata hongereniWale wa roll over
Tusiache hizi odds 2View attachment 3035994
Humu hapakufai nenda kwenye uzi wa kula tunda kimasikharaWaarabu wa pemba tumejuana kwa vilemba
Unashinda sema odds za hiyo game zinakatwaWazee ukibakiza timu mmoja mkeka utiki ,alafu hiyo mechi ikachezwa dakika chache,ikahairishwa,mpunga unapata au ndio unatoswa