Down To Earth
JF-Expert Member
- Jul 8, 2011
- 21,940
- 16,643
Bpawa EKC9399 edit kadri uwezavyo
usiamini akili zangu
usiamini akili zangu
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hamna cha tips master wala nini. Nidhamu ndio kila kitu.Wakuu tips master anapatikana kwa jina gani telegram simpati
Kati ya yeye mwenyewe pesa na wewe ambae unatafuta nani akili KisodaUkisikia akili kisoda ndio hizi ,yaani unarisk laki 2 ili upate elfu 7 ?View attachment 3032394
Sawa MdauKuna jambo nimeliona. 95% ya kila game utakayocheza wote tunacheza hivyo hivyo. Kuna fala m1 kawa mjanja.
Kuna siku alichukua odds kuanza 2.70 mpaka 3+ akacheza NO, btts.
Akaweka stake ya 1090kapiga 3789000/=
Siku iliyofuata akajitoa tena ufahamu akatembea mwendo ule ule btts akaweka NO. game 7 odds kama 1800. Stake 3000 akishinda anapata 5800000. Zikatoka game 5. Game 1 ipo dk ya 80 na matokeo 3-0. Mgeni anaongoza.
Game nyingine ilikuwa inaanza baadae kama saa limoja mbele. Akatishia kujitoa. Mwindi akampa 239000. Nikamshauri asitoke. Akajitoa.
Niwaambie kitu. Mkeka ukatoka. Akipishana na cash money 5800000.
Nini tufanye...ukijaribunsana ujanja ukakufelisha, basi test ujinga.
Kazi njema
Kam ulifuata, safii nyingine ngumu kumezaNamibia vs Seychelles,
GG odds 3.50
Kam unaroho ngum. Usiache odd hio
NakubaliKuna jambo nimeliona. 95% ya kila game utakayocheza wote tunacheza hivyo hivyo. Kuna fala m1 kawa mjanja.
Kuna siku alichukua odds kuanza 2.70 mpaka 3+ akacheza NO, btts.
Akaweka stake ya 1090kapiga 3789000/=
Siku iliyofuata akajitoa tena ufahamu akatembea mwendo ule ule btts akaweka NO. game 7 odds kama 1800. Stake 3000 akishinda anapata 5800000. Zikatoka game 5. Game 1 ipo dk ya 80 na matokeo 3-0. Mgeni anaongoza.
Game nyingine ilikuwa inaanza baadae kama saa limoja mbele. Akatishia kujitoa. Mwindi akampa 239000. Nikamshauri asitoke. Akajitoa.
Niwaambie kitu. Mkeka ukatoka. Akipishana na cash money 5800000.
Nini tufanye...ukijaribunsana ujanja ukakufelisha, basi test ujinga.
Kazi njema
Hii imekaaje yaan home 2.70 away 3 odds au?Kuna jambo nimeliona. 95% ya kila game utakayocheza wote tunacheza hivyo hivyo. Kuna fala m1 kawa mjanja.
Kuna siku alichukua odds kuanza 2.70 mpaka 3+ akacheza NO, btts.
Akaweka stake ya 1090kapiga 3789000/=
Siku iliyofuata akajitoa tena ufahamu akatembea mwendo ule ule btts akaweka NO. game 7 odds kama 1800. Stake 3000 akishinda anapata 5800000. Zikatoka game 5. Game 1 ipo dk ya 80 na matokeo 3-0. Mgeni anaongoza.
Game nyingine ilikuwa inaanza baadae kama saa limoja mbele. Akatishia kujitoa. Mwindi akampa 239000. Nikamshauri asitoke. Akajitoa.
Niwaambie kitu. Mkeka ukatoka. Akipishana na cash money 5800000.
Nini tufanye...ukijaribunsana ujanja ukakufelisha, basi test ujinga.
Kazi njema
Wakuu Mlifuataa?? Ahly katoa gg, booomKam ulifuata, safii nyingine ngumu kumeza
Dakleyh vs ahly GG odds 3.20View attachment 3032683
Fact mkuu.Kuna jambo nimeliona. 95% ya kila game utakayocheza wote tunacheza hivyo hivyo. Kuna fala m1 kawa mjanja.
Kuna siku alichukua odds kuanza 2.70 mpaka 3+ akacheza NO, btts.
Akaweka stake ya 1090kapiga 3789000/=
Siku iliyofuata akajitoa tena ufahamu akatembea mwendo ule ule btts akaweka NO. game 7 odds kama 1800. Stake 3000 akishinda anapata 5800000. Zikatoka game 5. Game 1 ipo dk ya 80 na matokeo 3-0. Mgeni anaongoza.
Game nyingine ilikuwa inaanza baadae kama saa limoja mbele. Akatishia kujitoa. Mwindi akampa 239000. Nikamshauri asitoke. Akajitoa.
Niwaambie kitu. Mkeka ukatoka. Akipishana na cash money 5800000.
Nini tufanye...ukijaribunsana ujanja ukakufelisha, basi test ujinga.
Kazi njema
Wewe ndio huna akili mwenzio kashaingiza pesa endelea kubeti hero hero mzee halafu hapo mwenzio kacheza ticket mbili game MojaUkisikia akili kisoda ndio hizi ,yaani unarisk laki 2 ili upate elfu 7 ?View attachment 3032394
Hata kama....7000 unaipata kwa 1000 asubuhi mapemaa, hii sio aina nzuri ya kubeti hata kama mtu ana hela nyingi.Kati ya yeye mwenyewe pesa na wewe ambae unatafuta nani akili Kisoda
Ukiona mtu ana stake margin ya kuanzia laki 5 ujue ana vyanzo vyake ya pesa ya uhakika
Hata humu wengi tunaolalamila kuliwa ni wale wa vi stake vya chini ya 20,000 ila wale wa kuanzia laki Moja husikii kulalamika hovyo
Kwanza huyo aliebet Ili apate 7,000 yupo very selective,anajua kabisa YOUNG AFRICANS ktk ubora wake ni ngum mnoo kuchana kwa Team opponent wake.Hakukurupuka
Na sio kila mtu anapenda mamikeka mareeefu,kuna watu humu Tangu wanaanza KuBET wao ni Mechi hazizidi 5
Tutafute PESA Mdau tupunguze makasiriko