Lwiva
JF-Expert Member
- Apr 17, 2015
- 15,416
- 22,334
Vipi bado mnaendelea kupambana wengine tulikuwa tumepigwa ban .....nashangaa kila week ni lazima mimi nipigwe ban na jf kuna uzi niliuona humu kumbe kuna ban za week moja ila mimi nikipigwa ni siku 30 au 60 sababu za kupigwa ban ni za kihuni tu walaaniwe VIONGOZI WA JF ...ngoja tukuze mitaji kidogo kisha tufakamie matreni