Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Kuna jambo nimeliona. 95% ya kila game utakayocheza wote tunacheza hivyo hivyo. Kuna fala m1 kawa mjanja.
Kuna siku alichukua odds kuanza 2.70 mpaka 3+ akacheza NO, btts.
Akaweka stake ya 1090kapiga 3789000/=

Siku iliyofuata akajitoa tena ufahamu akatembea mwendo ule ule btts akaweka NO. game 7 odds kama 1800. Stake 3000 akishinda anapata 5800000. Zikatoka game 5. Game 1 ipo dk ya 80 na matokeo 3-0. Mgeni anaongoza.
Game nyingine ilikuwa inaanza baadae kama saa limoja mbele. Akatishia kujitoa. Mwindi akampa 239000. Nikamshauri asitoke. Akajitoa.
Niwaambie kitu. Mkeka ukatoka. Akipishana na cash money 5800000.
Nini tufanye...ukijaribunsana ujanja ukakufelisha, basi test ujinga.

Kazi njema
 
Ukisikia akili kisoda ndio hizi ,yaani unarisk laki 2 ili upate elfu 7 ?
Screenshot_20240703-130737.png
 
Ukisikia akili kisoda ndio hizi ,yaani unarisk laki 2 ili upate elfu 7 ?View attachment 3032394
Kati ya yeye mwenyewe pesa na wewe ambae unatafuta nani akili Kisoda

Ukiona mtu ana stake margin ya kuanzia laki 5 ujue ana vyanzo vyake ya pesa ya uhakika

Hata humu wengi tunaolalamila kuliwa ni wale wa vi stake vya chini ya 20,000 ila wale wa kuanzia laki Moja husikii kulalamika hovyo

Kwanza huyo aliebet Ili apate 7,000 yupo very selective,anajua kabisa YOUNG AFRICANS ktk ubora wake ni ngum mnoo kuchana kwa Team opponent wake.Hakukurupuka

Na sio kila mtu anapenda mamikeka mareeefu,kuna watu humu Tangu wanaanza KuBET wao ni Mechi hazizidi 5

Tutafute PESA Mdau tupunguze makasiriko
 
Kuna jambo nimeliona. 95% ya kila game utakayocheza wote tunacheza hivyo hivyo. Kuna fala m1 kawa mjanja.
Kuna siku alichukua odds kuanza 2.70 mpaka 3+ akacheza NO, btts.
Akaweka stake ya 1090kapiga 3789000/=

Siku iliyofuata akajitoa tena ufahamu akatembea mwendo ule ule btts akaweka NO. game 7 odds kama 1800. Stake 3000 akishinda anapata 5800000. Zikatoka game 5. Game 1 ipo dk ya 80 na matokeo 3-0. Mgeni anaongoza.
Game nyingine ilikuwa inaanza baadae kama saa limoja mbele. Akatishia kujitoa. Mwindi akampa 239000. Nikamshauri asitoke. Akajitoa.
Niwaambie kitu. Mkeka ukatoka. Akipishana na cash money 5800000.
Nini tufanye...ukijaribunsana ujanja ukakufelisha, basi test ujinga.

Kazi njema
Sawa Mdau

Sasa cheza wewe kama amevyofanya yeye kisha uje na mrejesho

These are games of luckies, options zote zinatoa na ndio maana zimo
Ila kuotea otea kupo but not progressive,ni kama walivyojiaminisha ma PILOTS wa AVIATOR Airlines na Ndege zao,kila mmoja aliacha Ndege angani akachupa

But naheshim USHAURI wako
 
Kuna jambo nimeliona. 95% ya kila game utakayocheza wote tunacheza hivyo hivyo. Kuna fala m1 kawa mjanja.
Kuna siku alichukua odds kuanza 2.70 mpaka 3+ akacheza NO, btts.
Akaweka stake ya 1090kapiga 3789000/=

Siku iliyofuata akajitoa tena ufahamu akatembea mwendo ule ule btts akaweka NO. game 7 odds kama 1800. Stake 3000 akishinda anapata 5800000. Zikatoka game 5. Game 1 ipo dk ya 80 na matokeo 3-0. Mgeni anaongoza.
Game nyingine ilikuwa inaanza baadae kama saa limoja mbele. Akatishia kujitoa. Mwindi akampa 239000. Nikamshauri asitoke. Akajitoa.
Niwaambie kitu. Mkeka ukatoka. Akipishana na cash money 5800000.
Nini tufanye...ukijaribunsana ujanja ukakufelisha, basi test ujinga.

Kazi njema
Nakubali
Mimi jana nilifanya hivyo nmeamka vizuri
 
Attachments

  • Screenshot_20240703_182701_Helabet.jpg
    Screenshot_20240703_182701_Helabet.jpg
    339.5 KB · Views: 13
Kuna jambo nimeliona. 95% ya kila game utakayocheza wote tunacheza hivyo hivyo. Kuna fala m1 kawa mjanja.
Kuna siku alichukua odds kuanza 2.70 mpaka 3+ akacheza NO, btts.
Akaweka stake ya 1090kapiga 3789000/=

Siku iliyofuata akajitoa tena ufahamu akatembea mwendo ule ule btts akaweka NO. game 7 odds kama 1800. Stake 3000 akishinda anapata 5800000. Zikatoka game 5. Game 1 ipo dk ya 80 na matokeo 3-0. Mgeni anaongoza.
Game nyingine ilikuwa inaanza baadae kama saa limoja mbele. Akatishia kujitoa. Mwindi akampa 239000. Nikamshauri asitoke. Akajitoa.
Niwaambie kitu. Mkeka ukatoka. Akipishana na cash money 5800000.
Nini tufanye...ukijaribunsana ujanja ukakufelisha, basi test ujinga.

Kazi njema
Hii imekaaje yaan home 2.70 away 3 odds au?
 
Fact mkuu.
Haya mambo siku zote huwa nasema kama unaweka timu chache chance ya ushindi huwa ni kubwa ila ukiweka kama mm basi chance inakuwa ndogo na unategemea uchambuz mzuri na zali.

Kujaribu jaribu mbinu ni vizur ila bahati nayo ipo palepale
 
Kati ya yeye mwenyewe pesa na wewe ambae unatafuta nani akili Kisoda

Ukiona mtu ana stake margin ya kuanzia laki 5 ujue ana vyanzo vyake ya pesa ya uhakika

Hata humu wengi tunaolalamila kuliwa ni wale wa vi stake vya chini ya 20,000 ila wale wa kuanzia laki Moja husikii kulalamika hovyo

Kwanza huyo aliebet Ili apate 7,000 yupo very selective,anajua kabisa YOUNG AFRICANS ktk ubora wake ni ngum mnoo kuchana kwa Team opponent wake.Hakukurupuka

Na sio kila mtu anapenda mamikeka mareeefu,kuna watu humu Tangu wanaanza KuBET wao ni Mechi hazizidi 5

Tutafute PESA Mdau tupunguze makasiriko
Hata kama....7000 unaipata kwa 1000 asubuhi mapemaa, hii sio aina nzuri ya kubeti hata kama mtu ana hela nyingi.
 
Back
Top Bottom