Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

watu bado mnabeti kumbe, nilijua wote tupo mapumzikoni mpaka August.

Bonjour πŸ–πŸΌ
 
Nimeona watu washatia mikeka ya EPL, LALIGA, SERIES A nimehamasika sana
 
Wakuu nataka tuje na rollover kwa pamoja Tukubaliane hapa kisha twende PM tuchambue odds 1k to 1M in ten Days rollView attachment 3036446
odds 2 ni kubwa sana kwa siku 10 mfululizo. labda odds 1.3 - 1.5 sawa. kwa tuliodumu kwenye betting tunaelewa hilo. stori za kujimotivate kama hizo wanazo wanaoanza kubet.

sikuvunji moyo, jaribu. halafu ishu kama hii inatakiwa watu serious wenye lengo moja muunde hata group la watu wawili tu muwe mnadiscuss hili jambo bila kuchoka. group la watu wengi mtakatishana tamaa tu kwasababu wengine watakuwa wanawavunja wenzao moyo watakuwa kimya hawacomment chochote. mwisho wake group linabaki kimya, baadaye kabisa linakufa.

cha kukushauri tafuta mtu serious kama wewe mwenye lengo kama la kwako fungueni group hata la watu wawili tu, mtaweza kufika mbali, ila msikatishwe tamaa na vipigo. hata mkipigwa endeleeni tu mpaka mambo yakae sawa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…