maisha sio rahisi walahiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiSio rahisi kama mnavyofikiria.
odds ya kiduanzi kabisa ndiyo imemchania. ukisema uweke odds kubwa shida, ndogo shida. tabu kwelikweliwatu wana mitaji ila hawajui waiwekeze vipiView attachment 3041880
Kamari ni mbaya sana nmecheka kijinga ,[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Bet lost.
ImeendajeNimeifata hii
Njoo PM sasa ufundishweSielewi naomba mnifunze nile mema ya nchi
HayaaNjoo PM sasa ufundishwe
Huyu hana akili huwezi weka odds 9 kwa pesa ndefu hivyo hii ilihitaji odds 1.5 tu tena za live matchwatu wana mitaji ila hawajui waiwekeze vipiView attachment 3041880
Live bet ipi option ni nzuri mkuu inaonekana una uzoefu na live betHuyu hana akili huwezi weka odds 9 kwa pesa ndefu hivyo hii ilihitaji odds 1.5 tu tena za live match
Nipe code mremboHayaa
Shida ya hizi kampuni zinazo tumia temple ya 1xbet zinakuaga na utapeli mwingiKampuni inaonekana tamu hiyo. Hii ni mechi ya spain vs engl.View attachment 3042367View attachment 3042368View attachment 3042370
Hii ya option ya goli liingie lakin likataliwe siion mbona, unaipatia wapi Mkuu?Kampuni inaonekana tamu hiyo. Hii ni mechi ya spain vs engl.View attachment 3042367View attachment 3042368View attachment 3042370
Kampuni ganiHii ya option ya goli liingie lakin likataliwe siion mbona, unaipatia wapi Mkuu?