Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

FB_IMG_1720875847998.jpg


BETTING INATISHA SANA😅😅😅
 
Sema kuna watu wanaishi kwa kamari. Hawa wana mitaji ya kutosha...odds zao ni 1.5 hadi 2.5 huwa wanaloose ila mikeka ya loss ni michache na win inakuwa mingi.
Ukitaka kuamini betting can give you money. Andaa 20k kisha anza na kustake 1k ×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5
×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5=437,800....
Ikiishia njiani anza upya nq 1k mpaka 20k iishe ukifanikiwa round moja tu una 400k.
Mimi sio motivational speaker hivi ndivyo huwa nafanya na kuna muda naburuzwa 20k yote bila kumaliza round, kuna kipindi inaishia kwenye 100k ila ikifika mwisho ujue ni sherehe, na mimi huwa natembea na live Odds mara nyingi
 
Back
Top Bottom