Hizo options zote ni kama zimetoa. MayuKampuni inaonekana tamu hiyo. Hii ni mechi ya spain vs engl.View attachment 3042367View attachment 3042368View attachment 3042370
Karibu tu_join force mkuu, nimechoka kuchoka kucheza parlay for 10 tshWakuu nataka tuje na rollover kwa pamoja Tukubaliane hapa kisha twende PM tuchambue odds 1k to 1M in ten Days rollView attachment 3036446
Hapo ungeweka ata buku saivi ungekuwa unajipiga supu ya nguvujamani mnitukane tu matusi ya kila aina[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 3042792
zote hizo zimetoa[emoji24][emoji24] na sikuweka mkeka
[emoji16][emoji16][emoji16]jamani mnitukane tu matusi ya kila aina[emoji24][emoji24][emoji24]
View attachment 3042792
zote hizo zimetoa[emoji24][emoji24] na sikuweka mkeka
GAni??Nipe code mrembo
Haya makampuni uongo tu wanasemaga first deposit 100% bonus ukiweka hela hupati hata shilingi tano ya bonus
Option ipi sasa mkuu?Sema kuna watu wanaishi kwa kamari. Hawa wana mitaji ya kutosha...odds zao ni 1.5 hadi 2.5 huwa wanaloose ila mikeka ya loss ni michache na win inakuwa mingi.
Ukitaka kuamini betting can give you money. Andaa 20k kisha anza na kustake 1k ×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5
×1.5×1.5×1.5×1.5×1.5=437,800....
Ikiishia njiani anza upya nq 1k mpaka 20k iishe ukifanikiwa round moja tu una 400k.
Mimi sio motivational speaker hivi ndivyo huwa nafanya na kuna muda naburuzwa 20k yote bila kumaliza round, kuna kipindi inaishia kwenye 100k ila ikifika mwisho ujue ni sherehe, na mimi huwa natembea na live Odds mara nyingi
Anaweza akawa hana akili kama ulivyoona lakini pia anaweza akawa ana akili vile vile ndio maana amecheza hivyo kama give back to Kanji baada ya kumla laki kadhaa akaamua kujilipua hiyo hela kutoka nyingi alizikula (akiliwa hakuna noma na akila basi ni burudani kwakeHuyu hana akili huwezi weka odds 9 kwa pesa ndefu hivyo hii ilihitaji odds 1.5 tu tena za live match
Utakuwa ulijisajili bila kuweka Promo Code. Ukiweka Promo Code, lazima upewe bonus yako. Jisajili hata sasa hivi kwa kutumia Promo Code TIPS2424 uone kama hutapewa bonus mara mbili ya kiasi cha pesa utakachowekaHaya makampuni uongo tu wanasemaga first deposit 100% bonus ukiweka hela hupati hata shilingi tano ya bonus