Hivi kati ya Aviator na Gold Rush ya Sportpesa ipi ngumu mkuu, ya Sportpesa ipo hivi Kuna mechi zipo 3 inatakiwa upatie mechi zote tatu kwamba ni timu Gani itakuwa ya kwanza kuifunga mwenzie na ni dk ya ngapi!?🤣😂 Harafu Kuna mil 100 😂 hiyo hapo pia unacheza BURE uweki stake 🙌Kila la kheri