Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

⚽️

9F4450
 

Attachments

  • Screenshot_20240729_190608_SportyBet~2.jpg
    39 KB · Views: 7
Nilikua naangalia cv za wachezaji wa Spain jinsi ilivyo shiba dhidi ya Egypt, nikajilipua mazima kuwafuata Spain odd 1.98

Mpaka sasa halftime Spain kasha kalia kimoko
 
Nilikua naangalia cv za wachezaji wa Spain jinsi ilivyo shiba dhidi ya Egypt, nikajilipua mazima kuwafuata Spain odd 1.98

Mpaka sasa halftime Spain kasha kalia kimoko
 

Attachments

  • 9A040135-0FE6-462E-9946-5B24C5B086E6.png
    182.3 KB · Views: 9
Mwaka mpya wa kitaaluma wa maafisa ubashiri umewadia.
Wengine mwaka uliopita tuna sup, kwa hiyo tunangaza vita.
 
Nilibet juzi kutumia hela niliyo pewa kama bonus. Nikachagua team ovyo ovyo pale. Baadae nikala elfu 21 lakini nimeona ile hela ipo upande ule ule, wa. Bonus na sielewi masharit yake ni gani. Ili uchukue kibunda, mwenye uzoefu na iyo kampuni ya Kenya,
 

Attachments

  • Screenshot_20240731_013423_com.bangbet.androidgsavvggplay.jpg
    372.8 KB · Views: 6
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…