Franky Samuel
JF-Expert Member
- Oct 10, 2018
- 5,527
- 14,881
Mimi ndio nakwena kuishi nayo sasa hivi direct win second half.Wakamaria hivi game ya man utd mnaionajevnataka niruke nayo single bet
anakalia mpumbavu huyu..Naona matusi yameanza kwa Man u...
1Xbet code and EditedKatreni ka odds 30+
Mwisho jumapili
2D5DA5
Sportybet
Naona vilio vimeanza mapema sana wakuu, tukutane mzigoni kuanzia Jumapili
Unaipa timu DC dk ya 10 tu inakula umeme, best option itabaki kuwa ya magoli tuHuu msimu ni wakutembea na DC yenye draw
Utaingizwa chakaAya tuliokuwa likizo tujuane mana baadhi ya shule zimeanza kufunguliwa....Kwa wale wanafunzi mliopambana hata wakati wa likizo natumaini this time naiona DV 1 [emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] nawapa pongezi saana Tena sana Aya naombeni minipatie good idea mlizozipata nami walau hata DV 2or3 niambulie
Huyo kashaliwaKuna mdau hapa kaharibu laki . Eti fulham a draw 50k na ashinde 50k. Mh! Acha nione.