Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Tunaenda kuanza msimu kibabe sana
Pamoja San mkuuYap Yap tukutane kwenye viti virefu ,Ila usiwaamini Pamba Wala Fulham moyo wangu umegoma kabisa
SawaStake 1000...
Alafu anashinda elfu nne na mia tatu..
Leo nimempiga mihindi
Ndio maana nikasema hi kazi wewe huiwezi unaroho ya kikeUbashiri utabaki kuwa ubashiri tu.
Hii kazi huiwezi unaroho ya kikeAina hii ya vijana wana mchango mdogo sana kwa Taifa
Yaani tunaanza kazi leoKazi inaanza
Hii shuhuli ya wanaume mzee hamna huruma kwenye betting ni vyema ukaacha mapemaKila nikitaka kuacha betting,nakutana na post za namna hii
Roho ina jinsia?Hii kazi huiwezi unaroho ya kike
NdioRoho ina jinsia?
Umebahatika unajipa maujiko kuwa unajua kubashiri na kusema ni kazi! Betting haitabiriki na wala usijidai hapa kuwa unajua sana kumbe hujui lolote.Hii kazi huiwezi unaroho ya kike
Narudia tena unaroho ya kike betting huiwezi nenda kapike mama ntilieUmebahatika unajipa maujiko kuwa unajua kubashiri na kusema ni kazi! Betting haitabiriki na wala usijidai hapa kuwa unajua sana kumbe hujui lolote.
Nasikia na airtel ni bure.Wako vizuri sana. Natumia tigo ni bure kudeposit. Sijui mitandao mingine
Kwa akili hizi zidhani kama umeshawahi kushinda hata laki kwenye betting 🎰.Narudia tena unaroho ya kike betting huiwezi nenda kapike mama ntilie