Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Wapuuzi niliwapa corner over 2.5 first half
 

Attachments

  • Screenshot_20240815-204001.png
    Screenshot_20240815-204001.png
    349.9 KB · Views: 27
Pazia linaanza keshoo rasmi
Muwe makini na timu kubwa kesho zisiwaumize mkasema sijawaambia

Niko kwa wakala omar ...
 
Pazia linaanza keshoo rasmi
Muwe makini na timu kubwa kesho zisiwaumize mkasema sijawaambia

Niko kwa wakala omar ...
Kweli kabisa mpwa. Matimu bado hayajatulia kabisa. Ni bora kubet magoli, corners, bookings na vitu vingine kuliko kubet wins. Leo vipigo vinaanza kama kawaida aisee.
 
Wakuu inachukua muda gani pesa kufika kwenye account ya M - pesa baada ya ku withdraw Sportbet
 
YAAN LEO SIMBA YANGA AZAM WANGECHEZA LAZIMA MMOJA ANGETUPA BOKO
 
Wakuu inachukua muda gani pesa kufika kwenye account ya M - pesa baada ya ku withdraw Sportbet
inategemeana na kiasi cha pesa!
chini ya 999,999 huwa zinaingia muda huo huo,
kuanzia 1m -3m zinachelewa japo haizidi siku 3 kama sijakosea!
 
Back
Top Bottom