Jodoki Kalimilo
JF-Expert Member
- Feb 12, 2012
- 12,559
- 11,180
2 people are here, sijui vipigo maana kuna kipindi mahudhurio yalikuwa makubwa hata kabla ya ligi kuanzaHuu uzi haufikishi watu 20 ila unasonga
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
2 people are here, sijui vipigo maana kuna kipindi mahudhurio yalikuwa makubwa hata kabla ya ligi kuanzaHuu uzi haufikishi watu 20 ila unasonga
Stake mtu anweka 100...wamemshindwa mhindi..
Na sportybetWazee kama nina gundu odds 519 siku 4 zimepita sijala hiyo hela wala siijaipata yote ,siku ya kwanza kuitoa ikagoma hewani,ikarudishwa nkaitoa kwa njia ya vocha kampuni fulani hadi jana mawakala wao na kampuni ni shida Leo naambiwa nsuburi hadi kesho Leo nataka niseme kampuni za uhakika tz n azozijua mimi ni
1-meridian
2-Bet power
3-sport pesa
4-gal sports
5-par match hawa wanakuja vizuri sana
Wapo vizuri mno, tangu niijue sportybet nmeshazisahau kampuni nyingine.Na sportybet
Mbona iko wazi matokeo ya dk 90 ni bila bilaMuhindi ameamua kunitaperi hiyo mechi ya vijana u20
Wamesanuka kuwa Kamari ni njia ya kuutafuta umasikini kwa nguvuu.Asee uzi umepoa sana
Wakamalia, nini shida..
Best of luck
View attachment 3068447
Kampuni Bora tanzania ni sportybet tuWazee kama nina gundu odds 519 siku 4 zimepita sijala hiyo hela wala siijaipata yote ,siku ya kwanza kuitoa ikagoma hewani,ikarudishwa nkaitoa kwa njia ya vocha kampuni fulani hadi jana mawakala wao na kampuni ni shida Leo naambiwa nsuburi hadi kesho Leo nataka niseme kampuni za uhakika tz n azozijua mimi ni
1-meridian
2-Bet power
3-sport pesa
4-gal sports
5-par match hawa wanakuja vizuri sana