Si mbaya umepata ya kuanzia msimuIla betting bhana,ukiwa siriaz hupati,sass fanya kama mzaa,inakushangazaView attachment 3072736
Hiyo sio kampuni ya kubetia myakuja Julia haupo tanzania narudia mtakuja kuliaNilichogundua 1xbet usiweke hela ukategemea kuingia wakati huo huo.
Pesa inaweza kukaa hadi masaa matatu ndio ikubali.
Hivyo kama una mpango wa kuweka hela weka mapema usisubiri hadi mechi zianze.
Mbona iko poa kabisa ndgDah 1xbet Leo Kuna shida gan kwe kideposit?
Mitandao hiyo mbona pesa ni chap inasomaNilichogundua 1xbet usiweke hela ukategemea kuingia wakati huo huo.
Pesa inaweza kukaa hadi masaa matatu ndio ikubali.
Hivyo kama una mpango wa kuweka hela weka mapema usisubiri hadi mechi zianze.
Pole mkuuEverton kwenye blacklist yaani 1X kaninyima mamilioni ya kufungulia msimu kubabeshi dah
Mbona watu tunabeti toka 2018 stories ni hizi hizi. Changamoto yao ni payment methods zao huwa hazidumu, hilo ndio tatizo. Hata hivyo wakiondoa payment method na ukawa na kasalio kuna mbadala wa kutoa.Hiyo sio kampuni ya kubetia myakuja Julia haupo tanzania narudia mtakuja kulia
Endelea kuibetia mkuuMbona watu tunabeti toka 2018 stories ni hizi hizi. Changamoto yao ni payment methods zao huwa hazidumu, hilo ndio tatizo. Hata hivyo wakiondoa payment method na ukawa na kasalio kuna mbadala wa kutoa.
Nilizuia now naingia washapumuliwa cha pili dahWazee wa live mechi ya west wanacheza kwa kufunguka kwa hiyo wenzangu watia mizigo ni muda wa kuruka nayo
Yaani we acha tu,,,,, mm nilimpa DC bdae nikaona uhakika nikabadili dah kilichotokea sasa mmh ,,,, Italy shikamooInter nyoko kwel, kaniharibia malengo yangu
Sio jamaa ali cash out au?Betway wahuni sana. Ukiingia kwenye app Yao kipengele Cha big winner sijui wanadanganya Ili iweje?
Leo wameweka namba imeshinda kiasi kikubwa Cha pesa wakati baadhi ya timu zilizowekwa kuwa zimeshinda Bado ziko uwanjani. Na option ni ya normal