Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Ila betting bhana,ukiwa siriaz hupati,sass fanya kama mzaa,inakushangaza
Screenshot_20240817-181055.jpeg
 
Attachments

  • Screenshot_20240817-181055.jpeg
    Screenshot_20240817-181055.jpeg
    29.6 KB · Views: 6
Nilichogundua 1xbet usiweke hela ukategemea kuingia wakati huo huo.

Pesa inaweza kukaa hadi masaa matatu ndio ikubali.

Hivyo kama una mpango wa kuweka hela weka mapema usisubiri hadi mechi zianze.
 
Mbona watu tunabeti toka 2018 stories ni hizi hizi. Changamoto yao ni payment methods zao huwa hazidumu, hilo ndio tatizo. Hata hivyo wakiondoa payment method na ukawa na kasalio kuna mbadala wa kutoa.
Endelea kuibetia mkuu
 
IMG_20240817_215152_029.jpg

Paripesa Midnight Games. Baseball⚾⚾.

Code Ya Mkeka👉👉 KEF5S

Jisajili PARIPESA Leo Na Uweke Pesa Upate Bonus Ya Mpaka TZS 250000.

Sehemu Ya Promo Code Weka Neno 👉👉 TIPS2424

N.B Utapata Bonus Ukijisajili Na Kuweka Promo Code👉👉 TIPS2424

💰💰💰💰✅✅✅✅
 
Betway wahuni sana. Ukiingia kwenye app Yao kipengele Cha big winner sijui wanadanganya Ili iweje?
Leo wameweka namba imeshinda kiasi kikubwa Cha pesa wakati baadhi ya timu zilizowekwa kuwa zimeshinda Bado ziko uwanjani. Na option ni ya normal
 
Attachments

  • Screenshot_20240817-231129.jpg
    Screenshot_20240817-231129.jpg
    520.8 KB · Views: 5
Betway wahuni sana. Ukiingia kwenye app Yao kipengele Cha big winner sijui wanadanganya Ili iweje?
Leo wameweka namba imeshinda kiasi kikubwa Cha pesa wakati baadhi ya timu zilizowekwa kuwa zimeshinda Bado ziko uwanjani. Na option ni ya normal
Sio jamaa ali cash out au?
 
Back
Top Bottom