Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

Mikeka: Wazee wenzangu wa kuweka mzigo, karibuni tubashiri mechi za leo

-np0ft.jpg

🔥 BET OF THE DAY ON PARIPESA. TODAY'S PICKS.

Code: ADQFU

Register And Play On PARIPESA's Website.

PROMO CODE👉👉 TIPS2424
 
sportybet naona wametuletea option itakayotuepusha na pressure za comeback........
mtu akiongoza 2-0 hata kama dk ya 20 mzigo unaingia, ......

au mimi ndio sijaielewa hii kitu?[emoji23]
Screenshot_20240821-132608.jpg
 
Mkuu PARIPESA,Code unaiingizaje
Screenshot_20240821-164644_1.jpg

Ukifungua app yako ya PARIPESA, utaona kwenye menu ya chini kuna sehemu imeandikwa betslip. Bonyeza hilo neno betslip. Utafunguka ukurasa, na kutokea menu nyingine. Kwenye menu hiyo utaona mstari wa mwisho umeandikwa load betslip. Bonyeza hapo, ingiza Code yako, baada ya hapo load.
 
Back
Top Bottom